Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Bora hata ingekuwa siku ya Jumapili ndiyo aulize ratiba ya kula kuanzia J3 mpaka J1 muitengeneze na kuibandika mlango wa friji au jikoni..
Ratiba ipate mpishi sasa vinginevyo mnaeza kuwa na ratiba ijumaa biriani ila mkala ugali tembele
 
Limekaa kimahaba ndio until you get asked 10 times in a row [emoji23][emoji23][emoji23] ndio utajua limekaa kimahaba au kero.
On the Valentine day mwanamke akiuliza hilo huwezi kumaindi. Its a special day for both of you. Ila ikigeuzwa norm huwezi kufurahia amini kwamba.
ngoja nikioa na mm ntajionea ila kwa sasa naona limekaa uzuri sana ilo swali
 
Kenge weee, yani friji lina nyama unilishe maharage deile. Ntakapouliza swali kuhusu vitoweo uwe na majibu yalionyooka kama ruler.
Hivi vitabia vya kukomoa waume kwa ujinga wenu ndio vinavyoongoza kuzalisha michepuko.
Kenge? Kenge wewe uliyemchoka mkeo na kuishia kuona swali jepesi la kuulizwa ule nini unakereka mpaka unalipandishia uzi. Nenda kwa mchepuko utaulizwa hilo swali daily na cha kushangaza hutakereka. Eti majibu kama ruler...ama mmewapata wake wema walioshushwa na Bwana.
Mwambie tu sasa hivi kuwa hutaki kusikia swali hilo tena apike anachokiona kinafaa sidhani kama utaulizwa tena.
 
Elekezi Mara ngapi buddy Anajua mbele ya wali Samaki sipindui na week hii nimekula Mara moja Kila kitu kipo ...dah ...
Nimekuuliza why hakupiga simu kimya...
Nkaona nikiendelea kuuliza Nitazua mengine(nitamuumiza)
So nimetulia Tuu .
Duh pole mkuu, au bado mtoto sana? Afu wewe unaonekana hupendi vurugu.
 
Mi nikiwaza chakula cha mchana we uwaze cha usiku. Maisha kusaidiana. Kwani kusema unachojisikia kula kuna shida gani. Mimi ningekaa na wewe ungekula chakula cha aina moja mpaka ujue kusema unachotaka kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ndiyo bado kapo jamani. Ila majority kwa vile mnapenda kukaa bar na kuning'iniza miguu juu kama paka: inabidi tu tule wenyewe na watoto maana hamkawii kurudi siku ya pili (after saa 6 usiku)
Na kuning'iniza miguu juu kama paka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Dah nalichukia sana Hilo swali, me akiniuliza namtajia chakula ambacho ni ngumu kuweza kukiandaa Muda Huo
 
Kama mmekaa mda mrefu kwenye mahusiano itakuwa sio busara kuuliza mara kwa mara tabia hii wanayo wanawake wavivu kupika na wasiojua kujiongeza. Wanaume wana mambo mengi hvyo jukumu la mke kumpunguzia baadhi ya majukumu kama hayo.
 
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Ratiba ya msosi,ndio jibu.

Mpk mnaish pamoja,bilashaka mtakuwa mnajuana vema chakula kinachopendwa sana ni kipi? Kwa kila mwanafamilia
 
Kama
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kama nisingekipenda nisingekinunua.
 
Mwaka 2004 nilikuwa kwenye list ya heshima ya walinzi wa mkapa RIP mke ngu alikuwa nkengasong niliitwa siku mbili kabla ku attach menu yangu kwenye ......Simba Mungu akubariki vs ....
 
Back
Top Bottom