Haha mkuu!! Maisha yenyewe haya mafupi sana, ya nini kuongeza list ya stress, ? Mke ni mara nyingi moja ya watu wanaokuwa nasi wakati wa maisha yetu yanaisha . Na Wana mengi sana wanaweza kufanya kutukomoa au hata wakiamua kutuuwa , ni bora kuishi nao kwa busara kuliko kutumia amri.Hapo pipa limekutana na mfuniko, umeoa mpemba nini mkuu? Au mtanga maana ndio mambo yao hayo.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]Bora iwe hivo... "Niambie Basi utakula nn jioni" ukiona umeanziwa na Baba x utakula nini jioni jua Kuna kamzinga mbele yake au unapewa na jukumu la mwanao seamlessly , Ila kesho (14 Feb) nina Imani "baby' itarudi
Asee hili swali silipendi hatari, sie wengine hata naenda kula cafteria nk huwa najua nakula nn akishafika mhudumu."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Hahahah tutarudi zama za visukari
Ukifika umeshakula ,unanuniwa au unaambiwa umekula kwa michepuko ...
Hizi ndoa hizi Watu watutizame Tuu tukiwa huko mbele ya jamii Tunavyopendana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh sawa,I guess..Huyu bado hana watoto ndiyo maana mkewe anamuuliza yeye
Swali linalo nikera ...nimetoka safari ananiuliza sijasitua mbunye nyingine nilikotoka...nilikumbuka truck?Hio kila siku ndio limenifanya niweke bandiko. Hamna raha kama ukute mama kasharekebisha we ni kula tu. Ndio raha ya mke π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.
[emoji23][emoji23][emoji119]Aisee una kipaji kikubwa cha uvumilivu! Yani me mwanangu alalie biskuti kweli na azam embe!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu angalia akili yako vizuri
Swali la kijinga sana hili, hata kama na njaa najibu sili chakula, sijisikii hamu ya kula"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeiangalia nimegundua iko
vizuri sana kwene IQ [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishakuwa na watoto wawili hakuna atakaekuwa na muda na hayo mambo, kila mtu atakuwa mchaka mchaka.Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni ππππππ yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.
Eeh nachotaka ni huo mchaka mchaka sio kuulizana tunakula nini wakat vyakula vyote nishanunua. Ubunifu wa kubuni pishi mpaka tuulizane maswali?Ukishakuwa na watoto wawili hakuna atakaekuwa na muda na hayo mambo, kila mtu atakuwa mchaka mchaka.
Na hii "bebi" ni kwenu wafilipino"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Yaani mnapendwa hampendekina huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dahπ
Mi enzi hizo nilikuwa naanda mchemsho wa ndizi nyama, wali maini, ugali kwa fish π , asubuh chai magimbi, au mihogo viazi nk lakin nowadays ni twende kaziEeh nachotaka ni huo mchaka mchaka sio kuulizana tunakula nini wakat vyakula vyote nishanunua. Ubunifu wa kubuni pishi mpaka tuulizane maswali?m
chemsho wa ndizi