Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Hapo pipa limekutana na mfuniko, umeoa mpemba nini mkuu? Au mtanga maana ndio mambo yao hayo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha mkuu!! Maisha yenyewe haya mafupi sana, ya nini kuongeza list ya stress, ? Mke ni mara nyingi moja ya watu wanaokuwa nasi wakati wa maisha yetu yanaisha . Na Wana mengi sana wanaweza kufanya kutukomoa au hata wakiamua kutuuwa , ni bora kuishi nao kwa busara kuliko kutumia amri.
 
Mkuu km uko romantic na mkeo ilo swal halitakuumiza ila km hauna u romantic lazma uone kero... Sie huku tanga ni mahaba hayo yan mke lazma apike kle mume hupenda zaid bhn kle ambacho una ham nacho cku hyo
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Asee hili swali silipendi hatari, sie wengine hata naenda kula cafteria nk huwa najua nakula nn akishafika mhudumu.
Ko mi wife aendelee tu na choices zake kama siku ntakua na hitaji maalum la chakula ntamwambia, otherwise aendelee kwa utaratibu wake mi ntakula tu
 
Hio kila siku ndio limenifanya niweke bandiko. Hamna raha kama ukute mama kasharekebisha we ni kula tu. Ndio raha ya mke 😁
Swali linalo nikera ...nimetoka safari ananiuliza sijasitua mbunye nyingine nilikotoka...nilikumbuka truck?

Haya ya kula kula sina muda nayo sana vhuwa nasema chochote nakula. Muhimu apike yeye sio hg.
 
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Swali la kijinga sana hili, hata kama na njaa najibu sili chakula, sijisikii hamu ya kula
 
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni 😂😂😂😂😂😂 yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.
Ukishakuwa na watoto wawili hakuna atakaekuwa na muda na hayo mambo, kila mtu atakuwa mchaka mchaka.
 
Ukishakuwa na watoto wawili hakuna atakaekuwa na muda na hayo mambo, kila mtu atakuwa mchaka mchaka.
Eeh nachotaka ni huo mchaka mchaka sio kuulizana tunakula nini wakat vyakula vyote nishanunua. Ubunifu wa kubuni pishi mpaka tuulizane maswali?
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Na hii "bebi" ni kwenu wafilipino

Huku kwetu huulizwi linatengwa tu harage
 
na huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah😂
Yaani mnapendwa hampendeki
Akipika wali maharage una anza kununa eti nilikula huo huo kazini; ukiulizwa una nuna?
Si una kaa naye tu na kumwambia apika anachopenda, wewe utakuwa happy kula chochote alichokupikia.....hata kuuliza tena
 
Eeh nachotaka ni huo mchaka mchaka sio kuulizana tunakula nini wakat vyakula vyote nishanunua. Ubunifu wa kubuni pishi mpaka tuulizane maswali?m
Mi enzi hizo nilikuwa naanda mchemsho wa ndizi nyama, wali maini, ugali kwa fish 🐠, asubuh chai magimbi, au mihogo viazi nk lakin nowadays ni twende kazi
chemsho wa ndizi
 
Kuna tofauti ya "Baby leo tunakula nini" na "Baby leo unakula nin".

Swali la kwanza mara moja moja sio mbaya kupeana idea ila likijirudia mara kwa mara linakera bcuz atakuwa mwanamke hana clue hajielewi ahudumie vipi familia.

Swali la pili linaponya majeraha ya akili na masumbuko yote ya moyo. ndo nalipendaga wife akiniuliza [emoji39] naagiza vitu vyangu special vipikwe.
 
Back
Top Bottom