t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Haha mkuu!! Maisha yenyewe haya mafupi sana, ya nini kuongeza list ya stress, ? Mke ni mara nyingi moja ya watu wanaokuwa nasi wakati wa maisha yetu yanaisha . Na Wana mengi sana wanaweza kufanya kutukomoa au hata wakiamua kutuuwa , ni bora kuishi nao kwa busara kuliko kutumia amri.Hapo pipa limekutana na mfuniko, umeoa mpemba nini mkuu? Au mtanga maana ndio mambo yao hayo.[emoji23][emoji23][emoji23]