Upo sahihi sanaKuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Mantiki ya kula vyakula msivyo navyo ndani ni nini? Kwa nini vyakula unavyopendelea visiwe katika akiba yenu ndani?Binafsi swali hilo hua halinisumbui maana niko selective sana kwny misosi na mara nyingi nakula vyakula ambavyo haviko hapo ndani kwetu.
So kwangu ni shega tu.
Binafsi inaboa ila inabidi tu nimjibu wife"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Swali lingekuwa utapenda kula nini ili kipikwe. Sio tunapika nini?Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Kwa hio nikae na kitimoto humo ndani kwny friji wkt dada wa kazi ni muislam?Mantiki ya kula vyakula msivyo navyo ndani ni nini? Kwa nini vyakula unavyopendelea visiwe katika akiba yenu ndani?
Tena sana ikiwa vingi vya kupika vipo, na anayeulizwa anapilika nyigi sana wakati huo kichwani mwake,Likikomaa kila swali Linatia Hasira
Siku nikitaka kula ninachokitaka nitanunua na kukileta siku hiyo hata Kama vingine vipo.Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
Huwa ni uvivu tu.Mm swali linakeraa aissee!!yani unatoka kazini umechoka kila kitu kipo ndan lakini mtu hajapika ety hajuii apikee nn
Mwanamke asiyependa kupika ndio muulizaji wa haya maswali.Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Aisee ninyi mnaosema hivi kwani hamna simu au? Kwamba hao wake zenu hawawezi kuwauliza kwa simu huko mliko hadi wawasubiri mfike majumbani ndiyo wawaulize?Huwa ni uvivu tu.
Anasingizia kukusubiria uchague apike Nini?
Mwanamke unatakiwa kuwa mbunifu, kuna wanawake wabunifu mpaka they trully amaze!Duuh kwamba mtu kila siku utakula ugali na nyama tu? Aisee basi mwenzenu sikujuaga kama kuna wanaume design yenu yaani mie najuaga wanaume wote wanapenda kuulizwa wanakula nini hawataki mke apike tu chochote anachojisikia kumbe nilikuwa sijui?
Cha out Mara Moja Moja we always to know ur test,mkitujibu vzuri inaonyesha caring, love inajengwa na vitu simple ambayo wengi huvidharauSiku nikitaka kula ninachokitaka nitanunua na kukileta siku hiyo hata Kama vingine vipo.
Au nitaitoa familia nzima tukale out.
Hivi unaweza ukakaa na mumeo mwaka mzima usijue vyakula ambavyo anavifurahia...Like serious?Ndiyo cause mie najuaga hakunaga kitu wanaume wanapenda kwenye masuala ya msosi kama kuulizwa wanajisikia kula nini
Maana kwa wanaume wengine mwanamke akipika anachotaka yeye bila kumshirikisha mume anaonekana hamheshimu mumewe
Maana anaweza akapika chakula ambacho mume hajisikii kula halafu mume asifurahi wakati yeye ndiye anayetafuta hizo pesa
Hivyo mie mwanaume ambaye hataki nimuulize anakula nini mie ndiyo nampenda maana hanikomoi naamua mie nipike nini
Sababu wengine kumuuliza mwanaume kila siku anakula nini tunaona kama ni utumwa maana anaweza akataka ambacho sipendi
Kwamba kila siku utajikuta unapika vyakula anavyotaka yeye tu wakati usipomuuliza utapika vile unavyotaka wewe na atakula tu
"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Swali la kawaida sana hili kwa wapendanao, ila isiwe kila siku mara moja moja kuulizwa insaonyesha mke ni mtu wa busara na upendo, maana kuna siku mzee anaweza kujisikia kula kitu tofauti na akiwazach yeye.."Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.