Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

mwanaume apende asipende atakula tu maana asipokula ni mtiti. we pika tu kama hamu ya kingine anayo atabeba aje na hayo mazaga. generally sipendi hilo swali +upo wapi? + unafanya nini?+nambie.
 
Usimuite my husband wa ajabu mkuu. Ni vile alipokulia. Mtu hupenda chakula alichozaliwa akakikuta. By the way ushauri wako naupokea kwa mikono miwili umetulia mno
 
Kwamba yeye ndo anunue Hotpot???[emoji3][emoji3][emoji3] Mwanamke atakuuliza tunakula nini kama hujampaa helaa.. wewe mpe lakin 2 kila mwisho wa mwezi uonee..



unasema laki mbili.. bajet ya home mimimu
ni 360,000 kila mwez na nje ya hapo jikon kwake always kuko full....
 
Kabisa mkuu hata mimi mwenyewe kabla ya kuwa na watoto nilkuwa nakosa cha kupika mpaka namsubiri hubby anichagulie bahati nzuri alikuwa muelewa,
 
Mmmh hiyo nzito
 
Kabisa mkuu hata mimi mwenyewe kabla ya kuwa na watoto nilkuwa nakosa cha kupika mpaka namsubiri hubby anichagulie bahati nzuri alikuwa muelewa,
Una bahati sana yani maana wengine mood hizo hatuna tukichoka😅
 
Panga ratiba ya misosi ya kila siku ili kuondokana na mambo ya kufikiria utapika nini.
Weka ratiba hadharani kila mtu aijue.
 
Una bahati sana yani maana wengine mood hizo hatuna tukichoka[emoji28]
Ndio hata ukichoka hakuna namna yaani sisi shida yetu ilikuwa upendeleo kwenye vyakula mfano mimi napenda sana ndizi,yeye hazipendelei,mimi sipendi viazi mviringo yeye anapenda sana,mimi siwapendi samaki yeye ukimpikia samaki atasifia mpaka basi,mi sipendi wali yeye anapenda sana wali,mimi sipendi tambi yeye anapenda,kwa hiyo mimi inanipa shida kwenye kuchagua chakula cha kupika kwa maana mimi nkila nkitaka kupika either nimeridhishe yeye ama nijiridhishe mimi
 
Hahahahahahahah hapo pazito yani vyakula unavyopenda wewe utakuwa mchaga kabisa kama sio Muhaya😅😅😅 hapo hata mimi lazima tungekaa meza ya maridhiano🤣🤣🤣
 
Panga ratiba ya misosi ya kila siku ili kuondokana na mambo ya kufikiria utapika nini.
Weka ratiba hadharani kila mtu aijue.
Na siwezi panga ratiba lazima nidhirikishe watu Mimi Kuna vitu vyangu hupenda Sasa ukiniachia mwenyewe nitawafuraisha kwa kweli. Kupanga timetable ni swala shirikishi
 
Ugonjwa wangu ndizi hata Nikila daily sichoki naye hapendi ndizi akiulizwa hataki Sasa namkomesha mpaka akome
 
Mi swali hilo si la mazoea ila mwanamke hapendi ukosoe,ushauri au pendekezo la msosi husika kwa upikaji wa siku ingine, nikinyimwa papuchi namtema ndani ya nafsi namfanya kama kibwengo.
 
Na siwezi panga ratiba lazima nidhirikishe watu Mimi Kuna vitu vyangu hupenda Sasa ukiniachia mwenyewe nitawafuraisha kwa kweli. Kupanga timetable ni swala shirikishi
Wife zamani akiniiuliza nilikuwa namjibu pika chochote,, nilivoona anaendelea siku moja nikamwambia pika mchemsho, akatabasam akasepa,, alivorudia siku nyingine nikamwambia pika nyama choma na ugali.

Siku hizi haniulizi tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti ata chatu una mla tu bila wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…