Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

uwe unamjibu sekela
 
haufiki kwangu anajua Mimi na kande na chai yamaziwa iliyoungwa kwelikweli lakini bado ananiuliza
 
Firstly,Kuna kuoa msichana aliyekuwa anataka ndoa na kuoa msichana anayekupenda ,kama n alitaka ndoa hakujali c tyl ,kama anakupenda kila kitu atapenda kiwe kizr kwako na kwa wanaume n ivo ivo,
 
mtajie chakula ambacho hakipo ndani halafu usisubiri maswali, pitiliza hadi chumbani ukalale, au kama ulishinda nyumbani toka nje ukapige misele urudi baadae sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…