kamanzi06
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 350
- 164
uwe unamjibu sekela"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.