Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Sasa wangu mi hapendi kabisaa ugali anapenda tuu ndizi za kwao Marangu. So mkipika ugali na ndizi zake ziwepo. Hakuna kitu kigumu kama kuwaza una pika nini aisee ni kazi ngumuu

Hapo nilipopakoleza hapo pamenichekesha sana.

Kwa hiyo wataka kusema kuwa, eti kuwaza utapika nini hiyo ni kitu kigumu kuliko hata kupeleka rockets kwenye orbit ya sayari ya Mars ??

Yaani unamaanisha kuwaza utapika nini ni kitu kigumu kuliko kukabiliana na GENETICS ENGINEERING, PHARMACOLOGY au PURE MATHEMATICS na ADVANCED PHYSICS za A-Level eeh?

Jamani tuwe serious jamani.

#justKidding
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment
Siku ukipikiwa ugali na kabichi ndio utaelewa umuhimu wa hilo swali.
 
Akili zao wanazijua wenyewe,
 
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Kwa wanaume wengi wa Mbeya, pika ugali usiku kama una hamu ya kula mwenyewe.
 
Na mimi nimesema hivyo. Baba yangu hakuwa mpenzi wa nyama, za aina chache sana na sio mchuzi, na usithubutu kumpikia ugali usiku unless amekwambia. Na wanaume wengi wenye asili ya Mbeya; kumpikia ugali usiku ni ugomvi
mi mwenyewe ugali usiku nalilia shida tu ila mpunga ni anyday!
 
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
Ugali na nyama nyingi + chachandu + mboga za majani ... mwanamke akinipikia hvi atanishawishi na pombe nianze kunywea ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni technical question,la kukupiga mzinga wa pochi mzee baba.wanawake wataalam Sana wa kucheza na IQ yako.akili kubwa inahitajika kwenda nao sambamba mkuu.
 
relax bro...calm down homeboy...easy easy home planet...chilling

Hilo swali ni linakukera kwa sababu ya frequency yake?? Je akiuliza mara moja kwa wiki will u complain??

Je tangu makuzi yako hujawahi kuulizwa au kusikia baba yako akiulizwa na mama yako??

Siku ya kwanza kuulizwa ulijisikiaje internal, annoy or not??

Je ukiwa na good mood/vibe afu ukaulizwa hilo what do you feel??

BTW ukitaka kujijua ww ni mtu wa aina gani go and look ur 20 yrs back na itakusaidia kutambua ur character.

Lastly tafuta article yoyote inayozungumzia mambo ya Emotional Intelligence it will help u.
 
Mkuu, mambo ya kudeka hayooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…