Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Siyo hiyo siku Ni Jana...
Nilikunywa Azam Juice na mkate ,Matunda nikalala...Mimi na mwanangu.
Leo mapema Kaamka kaandaa kifungua kinywa sijamuuliza chochote.
Duuh..no way,nisingeliafiki hili..

Anyway mkuu,kama wewe umeona ni poa tu hakuna shida
 
Tatizo sio kuulizwa, tatizo ni swali kuwa la kila siku! Ukiulizwa mwezi wa pili ukaja kuulizwa mwezi wa 8 sio ishu.

Tatizo ni kuulizana swali hilo kila siku, yeye hajui nyumba yake inatakiwa kuliwa. Vyakula alivyonavyo havijui mpaka aniulize mimi? Yani niwaze kununua vyakula kisha niwaze kuvipika yeye kazi yake hasa ni nini kama mama wanyumbani?

Nyie ndio mnaharibu watoto. Apange ratiba aifate kama anaona kuwaza kila siku hawezi.
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndo vinafanya mnachapiwa wake/Waume zenu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Tumetofautiana sana
Swali hilo actually mie ndo nalipenda , nipo sensitive sana na taste ya chakula ninachopenda kula hasa cha nyumbani, wife si haba kwa mapishi yupo vzr sana na ninahakikisha kila kitu kipo kwenye fiji na stoo.
I'm the "I love to eat diet "man , na huwa sipendi kula chakula cha aina moja mchana na usiku, so ukifika muda wa jioni lazima niulizwe swali hilo, though Siku hizi kutokana na ukongwe wa ndoa yetu halianzi tena na 'baby' Kama wewe.
 
na huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah[emoji23]
Hajajua mchana ulikula nn, Mara nyingi huwa wanauliza Ili akupatie roho yako inachopenda
 
Tumetofautiana sana
Swali hilo actually mie ndo nalipenda , nipo sensitive sana na taste ya chakula ninachopenda kula hasa cha nyumbani, wife si haba kwa mapishi yupo vzr sana na ninahakikisha kila kitu kipo kwenye fiji na stoo.
I'm the "I love to eat diet "man , na huwa sipendi kula chakula cha aina moja mchana na usiku, so ukifika muda wa jioni lazima niulizwe swali hilo, though Siku hizi kutokana na ukongwe wa ndoa yetu halianzi tena na 'baby' Kama wewe.
Hahahahah unamiliki wife material wa ukweli sana mzee.
 
Hajajua mchana ulikula nn, Mara nyingi huwa wanauliza Ili akupatie roho yako inachopenda
Ahaa mie napenda kula birihani, ataweza pika sasa au ndio ataanza nani aanze kuanda mavitu yote hayo.
 
Siyo hiyo siku Ni Jana...
Nilikunywa Azam Juice na mkate ,Matunda nikalala...Mimi na mwanangu.
Leo mapema Kaamka kaandaa kifungua kinywa sijamuuliza chochote.
Aisee una kipaji kikubwa cha uvumilivu! Yani me mwanangu alalie biskuti kweli na azam embe!?
 
Tumetofautiana sana
Swali hilo actually mie ndo nalipenda , nipo sensitive sana na taste ya chakula ninachopenda kula hasa cha nyumbani, wife si haba kwa mapishi yupo vzr sana na ninahakikisha kila kitu kipo kwenye fiji na stoo.
I'm the "I love to eat diet "man , na huwa sipendi kula chakula cha aina moja mchana na usiku, so ukifika muda wa jioni lazima niulizwe swali hilo, though Siku hizi kutokana na ukongwe wa ndoa yetu halianzi tena na 'baby' Kama wewe.
Ha ha ha sikuizi ni baba nanihiii utapenda kula nini jioni

Kingsmann
 
We pika hicho hicho mi ntakula, mama yangu alinifundisha kutokubagua chakula i used to eat hata ambavyo sivipendi kwa sababu hio hio. Kula kitu ambacho ni suprise its fun sababu ukishajibu hilo swali mara nyingi utaitwa ushiriki kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23] kitu ambacho kinakera zaidi.

Jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni 😂😂😂😂😂😂 yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.
 
Ahaa mie napenda kula birihani, ataweza pika sasa au ndio ataanza nani aanze kuanda mavitu yote hayo.
Asee kwangu mine nikitamka biriyani nitalikuta kweli, na sometimes nazingua parefu tu , I've lost count number of times ambapo nimesema nitakula wali na mboga x jioni halafu nikapatwa na hamu ya muhogo wa kukaanga , very late na nikakuta menu hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]huwa namsaidia lakini kugeuza Mchele aliouloweka kutengeneza vitumbua au vibibi.
Siku nikikuta kanikasirikia naingia mwenyewe kupika ninachopenda sio kesi, nipo vzr sana pia kwenye kupika.
 
Hapo pipa limekutana na mfuniko, umeoa mpemba nini mkuu? Au mtanga maana ndio mambo yao hayo.😂😂😂
 
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.

Sasa si ndo mahaba? Mpendweje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kukumenyesha vitunguu kakuonea bora ungempa company tu kimtindo
 
Back
Top Bottom