rkidilu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2019
- 380
- 328
HahahahahMpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahMpaka Sasa hv sijala BSE Alikuwa hajui apike Nini
****
Nipo Chumbani yupo sebuleni anacheza Bubble shooter..Baada ya kumwambia Sina njaa
Hebu angalia akili yako vizuri"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Duuh..no way,nisingeliafiki hili..Siyo hiyo siku Ni Jana...
Nilikunywa Azam Juice na mkate ,Matunda nikalala...Mimi na mwanangu.
Leo mapema Kaamka kaandaa kifungua kinywa sijamuuliza chochote.
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndo vinafanya mnachapiwa wake/Waume zenu.Tatizo sio kuulizwa, tatizo ni swali kuwa la kila siku! Ukiulizwa mwezi wa pili ukaja kuulizwa mwezi wa 8 sio ishu.
Tatizo ni kuulizana swali hilo kila siku, yeye hajui nyumba yake inatakiwa kuliwa. Vyakula alivyonavyo havijui mpaka aniulize mimi? Yani niwaze kununua vyakula kisha niwaze kuvipika yeye kazi yake hasa ni nini kama mama wanyumbani?
Nyie ndio mnaharibu watoto. Apange ratiba aifate kama anaona kuwaza kila siku hawezi.
Tumetofautiana sana"Bebi Leo tunakula nini?"
Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.
Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
Hajajua mchana ulikula nn, Mara nyingi huwa wanauliza Ili akupatie roho yako inachopendana huu ndio muda wanaulizaga bora akuulize mchana huko yeye anasubiri utokezee kabisa home ndio anauliza dah[emoji23]
Hahahahah unamiliki wife material wa ukweli sana mzee.Tumetofautiana sana
Swali hilo actually mie ndo nalipenda , nipo sensitive sana na taste ya chakula ninachopenda kula hasa cha nyumbani, wife si haba kwa mapishi yupo vzr sana na ninahakikisha kila kitu kipo kwenye fiji na stoo.
I'm the "I love to eat diet "man , na huwa sipendi kula chakula cha aina moja mchana na usiku, so ukifika muda wa jioni lazima niulizwe swali hilo, though Siku hizi kutokana na ukongwe wa ndoa yetu halianzi tena na 'baby' Kama wewe.
Aisee una kipaji kikubwa cha uvumilivu! Yani me mwanangu alalie biskuti kweli na azam embe!?Siyo hiyo siku Ni Jana...
Nilikunywa Azam Juice na mkate ,Matunda nikalala...Mimi na mwanangu.
Leo mapema Kaamka kaandaa kifungua kinywa sijamuuliza chochote.
Ha ha ha sikuizi ni baba nanihiii utapenda kula nini jioniTumetofautiana sana
Swali hilo actually mie ndo nalipenda , nipo sensitive sana na taste ya chakula ninachopenda kula hasa cha nyumbani, wife si haba kwa mapishi yupo vzr sana na ninahakikisha kila kitu kipo kwenye fiji na stoo.
I'm the "I love to eat diet "man , na huwa sipendi kula chakula cha aina moja mchana na usiku, so ukifika muda wa jioni lazima niulizwe swali hilo, though Siku hizi kutokana na ukongwe wa ndoa yetu halianzi tena na 'baby' Kama wewe.
We pika hicho hicho mi ntakula, mama yangu alinifundisha kutokubagua chakula i used to eat hata ambavyo sivipendi kwa sababu hio hio. Kula kitu ambacho ni suprise its fun sababu ukishajibu hilo swali mara nyingi utaitwa ushiriki kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23] kitu ambacho kinakera zaidi.
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni 😂😂😂😂😂😂 yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.Jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asee kwangu mine nikitamka biriyani nitalikuta kweli, na sometimes nazingua parefu tu , I've lost count number of times ambapo nimesema nitakula wali na mboga x jioni halafu nikapatwa na hamu ya muhogo wa kukaanga , very late na nikakuta menu hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]huwa namsaidia lakini kugeuza Mchele aliouloweka kutengeneza vitumbua au vibibi.Ahaa mie napenda kula birihani, ataweza pika sasa au ndio ataanza nani aanze kuanda mavitu yote hayo.
Hapo pipa limekutana na mfuniko, umeoa mpemba nini mkuu? Au mtanga maana ndio mambo yao hayo.😂😂😂Asee kwangu mine nikitamka biriyani nitalikuta kweli, na sometimes nazingua parefu tu , I've lost count number of times ambapo nimesema nitakula wali na mboga x jioni halafu nikapatwa na hamu ya muhogo wa kukaanga , very late na nikakuta menu hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]huwa namsaidia lakini kugeuza Mchele aliouloweka kutengeneza vitumbua au vibibi.
Siku nikikuta kanikasirikia naingia mwenyewe kupika ninachopenda sio kesi, nipo vzr sana pia kwenye kupika.
Bora iwe hivo... "Niambie Basi utakula nn jioni" ukiona umeanziwa na Baba x utakula nini jioni jua Kuna kamzinga mbele yake au unapewa na jukumu la mwanao seamlessly , Ila kesho (14 Feb) nina Imani "baby' itarudi
Mi nimeshamsoma mara nyingi akiuliza hilo swali anataka pia nikakae nae nianze kumenya vitunguu huko jikoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani lazma mpike wote ufala sana!!! Kwahio msione kama nimemaindi bila sababu.