Hivi naomba majibu Kwa Samia Hawa waumini wa Kanisa la Gwajima Wana makosa gani?

Hivi naomba majibu Kwa Samia Hawa waumini wa Kanisa la Gwajima Wana makosa gani?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Wamekosa Nini

Sitaki siasa

Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?

Wao hawana familia? Hawana watoto?

Ni wapagani hawasali?

Wake zao hawasali?

Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?

Samia na weweni mpagani ?

Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
 
Mimi naona watajitafutia matatizo tu maana kanisa haliko moja, ya nini kutafuta vilema vya ukubwani na uzeeni hali ya kuwa wameshatangaziwa kanisa limefungwa na serikali kuu tukufu?! Si ni kuwatafuta watu ubaya huko?!
 
Ufufuo na uzima ni miongoni mwa watu waliotambua kuwa uongozi wa sasa ni mene mene tekeli na peresi ndio maana wanasumbuliwa.
 
Wamekosa Nini

Sitaki siasa

Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?

Wao hawana familia? Hawana watoto?

Ni wapagani hawasali?

Wake zao hawasali?

Ni wapagani? Waliowatu nao ni wapagani

Samia na weweni mpagani ?

Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Kanisa limefungiwa kwa "Amri Halali ya Serikali". Viongozi wao wamefungua "Kesi Halali" kupinga kufungiwa Kanisa lao. Hukumu haijatoka. Wanaenda kanisani hapo kufanya nini? Wanaijaribu Serikali?
 
Ni kama wanatangaza vita na Imani, hawa watu wanajikusanya pamoja na kuabudu. Wakiwa hawana silaha, bali wanaomba. Pia hawatakiwi, ila wangekuwa wamejikusanya, wana picha za Samia wakiwa na mabango ya kumsifia wala hakuna mtu angewagusa.

Inaonyesha tuko na kiongozi wa aina gani, hii si sawa kwa vyovyote vile. Sababu za kufunga Kanisa ni za kipuuzi, kutumia nguvu za polisi kwa watu wanaosali ni upuuzi zaidi. Wapeni watu uhuru wa kusali, mtu wenu shughulikeni naye acheni watu wasali.
 
Wamekosa Nini

Sitaki siasa

Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?

Wao hawana familia? Hawana watoto?

Ni wapagani hawasali?

Wake zao hawasali?

Ni wapagani? Waliowatu nao ni wapagani

Samia na weweni mpagani ?

Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Uonevu tu. Ndiyo ujue hatuna uchaguzi huru eti hawa waje kupiga kura
 
Wamekosa Nini

Sitaki siasa

Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?

Wao hawana familia? Hawana watoto?

Ni wapagani hawasali?

Wake zao hawasali?

Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?

Samia na weweni mpagani ?

Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Kosa lao ni kukaidi amri halali ya serikali.
 
Sioni logic kuwazuiya waumini kuendelea na ibadazao.

Kama Gwajima anamakosa wangeshughulika nae yeye kama yeye.

Vinginevyo labda kama kunakitu tusichokijua.
 
Wamekosa Nini

Sitaki siasa

Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?

Wao hawana familia? Hawana watoto?

Ni wapagani hawasali?

Wake zao hawasali?

Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?

Samia na weweni mpagani ?

Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Hao polisi wameamua kushiriki kikamilifu mpango was kumuondolea uwezo was kutogombea na kukaa pembeni!!
 
Sioni logic kuwazuiya waumini kuendelea na ibadazao.

Kama Gwajima anamakosa wangeshughulika nae yeye kama yeye.

Vinginevyo labda kama kunakitu tusichokijua.
Na wizara ya mambo ya ndani haitambui barrua iliyotumika kusimamisha shughuli za hilo kanisa....polisi wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani...nadhani unaelewa nani anahusika...
 
Kanisa limefungiwa kwa "Amri Halali ya Serikali". Viongozi wao wamefungua "Kesi Halali" kupinga kufungiwa Kanisa lao. Hukumu haijatoka. Wanaenda kanisani hapo kufanya nini? Wanaijaribu Serikali?
Hiyo amri halali ya serikali iko wapi? Nani aliitoa?
 
Mimi naona watajitafutia matatizo tu maana kanisa haliko moja, ya nini kutafuta vilema vya ukubwani na uzeeni hali ya kuwa wameshatangaziwa kanisa limefungwa na serikali kuu tukufu?! Si ni kuwatafuta watu ubaya huko?!
Kwani wakati wanakwenda kuabudu pale siku za nyuma hawakuona hayo makanisa mengine?? Dini ni Imani na Imani yao iko pale.
 
Back
Top Bottom