Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
ukweli ni sababu ya anguko inatafutwa. Anguko liko mlangoniSiku sio nyingi mtaujua ukweli
ukweli ni sababu ya anguko inatafutwa. Anguko liko mlangoniSiku sio nyingi mtaujua ukweli
Kabisa mkuu makanisa mengi tuuMimi naona watajitafutia matatizo tu maana kanisa haliko moja, ya nini kutafuta vilema vya ukubwani na uzeeni hali ya kuwa wameshatangaziwa kanisa limefungwa na serikali kuu tukufu?! Si ni kuwatafuta watu ubaya huko?!
Unaabudu wapi mkuuMimi naona watajitafutia matatizo tu maana kanisa haliko moja, ya nini kutafuta vilema vya ukubwani na uzeeni hali ya kuwa wameshatangaziwa kanisa limefungwa na serikali kuu tukufu?! Si ni kuwatafuta watu ubaya huko?!
Kwa taarifa yako mpaka serikali inafunga Hilo kanisa wanajua kwamba hakuna lolote huko mnatapeliwa tu. Dini zilikuwaga zamani siku hizi wajinga ndo mnaoliwa, mnaenda kutafuta vifo na vilema vya kujitakia huyo mwenzenu aliyelitafuta balaa katulia zake maeneo anakula raha tu nyie wapuuzi mnatafuta vifo vya kujitakia muache familia zenu zinahahaUnaabudu wapi mkuu
Haki iliyopo kisheria, halafu haki hiyo inabeba Imani za watu?
Sema tu Imani zilishapungua
Maana vitabu vinasema, Mtawala au yeyote inapaswa apewe heshima kwa mambo ya heshima na yasiyo ya heahima ikiwa kayaamuru
Ila hatosikilizwa wala utii wowote inapotokea anatoa amri ya kumzuwia mtu asimwabudu Mungu aliye hai, maana yake, ni heri kufa kwa sababu ya Mungu maana uzima wako utaupata kwa Mungu awapaye uhai watu wote
Nyinyi watu ni WAJINGA SANA AISEE! acheni hao mitume wenu wawe mabilionea kwa kukusanya bila jasho pesa za watu wapumbavu wa aina yako… jiulizeni tu kwa akili timamu yeye mwenyewe yuko wapi?!Kwani wakati wanakwenda kuabudu pale siku za nyuma hawakuona hayo makanisa mengine?? Dini ni Imani na Imani yao iko pale.
Kama tu ameruhusu waganga wa kienyeji kufanya Ramli, inakuaje hao waumini. Kila mtu anao uhuru wa kuabudu kile anachokiamini, kama wanatapeliwa hayo ni maamuzi yao na Mungu wao.Kwa taarifa yako mpaka serikali inafunga Hilo kanisa wanajua kwamba hakuna lolote huko mnatapeliwa tu. Dini zilikuwaga zamani siku hizi wajinga ndo mnaoliwa, mnaenda kutafuta vifo na vilema vya kujitakia huyo mwenzenu aliyelitafuta balaa katulia zake maeneo anakula raha tu nyie wapuuzi mnatafuta vifo vya kujitakia muache familia zenu zinahaha
Tumia akili MNAPIGWA! hamuoni hata kwa akili rahisi tu ya kawaida?! Dini ni biashara siku hizi… nakuacha na neno moja la mungu wenu
“Ya kaisari mwachie Kaisari na ya mungu mpeni mungu”
TAFAKARI!
Usisahau pia kuna mtume mwingine Rais anaenda kua mgeni Rasmi kwenye ufunguzi wa kanisa lake.Nyinyi watu ni WAJINGA SANA AISEE! acheni hao mitume wenu wawe mabilionea kwa kukusanya bila jasho pesa za watu wapumbavu wa aina yako… jiulizeni tu kwa akili timamu yeye mwenyewe yuko wapi?!
Ana njaa na shida kama nyinyi?! Kauwasha moto kakimbia kawaachieni nyinyi balaa, mnatafuta vilema shauri zenu, SERIKALI HAIJARIBIWI!
Rais anapokea mwaliko wa jambo lolote liwe tu la maana na maombi yafuate protokali. Huna ujualoUsisahau pia kuna mtume mwingine Rais anaenda kua mgeni Rasmi kwenye ufunguzi wa kanisa lake.
Polisi hawana makosa ila ni Wajinga hilo tu ndio kosa lao, kumrishwa ufanywe jambo na Mjinga kijingajinga ni ujinga piaUnaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Hizo si mbinu za kisiasa au haujui yule Kuhani wa Uongo pale Mbezi ni pandikizi la hao hao wamemweka kuwapumbaza wajinga ndio maana shughuli mbalimbali utamkuta na yeye yumoUsisahau pia kuna mtume mwingine Rais anaenda kua mgeni Rasmi kwenye ufunguzi wa kanisa lake.
Hiyo protokali ya Maombi ipoje, kuna Muongozo wa Serikali wa namna ya Kuomba?Rais anapokea mwaliko wa jambo lolote liwe tu la maana na maombi yafuate protokali. Huna ujualo
NO REFORMS, NO ELECTION.Wamekosa Nini
Sitaki siasa
Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?
Wao hawana familia? Hawana watoto?
Ni wapagani hawasali?
Wake zao hawasali?
Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?
Samia na weweni mpagani ?
Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
MamaSamia2025 ndiye shetani mwenyeweWamekosa Nini
Sitaki siasa
Hawa Polisi wanaowapiga waumini nakuwakosesha Uhuru wa kuabudu mentally wapo sawa?
Wao hawana familia? Hawana watoto?
Ni wapagani hawasali?
Wake zao hawasali?
Ni wapagani? Wao nao ni wapagani?
Samia na weweni mpagani ?
Unaweza vipi kuwanyima Uhuru wa kuabudu wenzako wakati wewe unaabudu?
Yaani hapo umeona umetumia akili kuuubwa kudadavua juu ya Imani siyo?Kwa taarifa yako mpaka serikali inafunga Hilo kanisa wanajua kwamba hakuna lolote huko mnatapeliwa tu. Dini zilikuwaga zamani siku hizi wajinga ndo mnaoliwa, mnaenda kutafuta vifo na vilema vya kujitakia huyo mwenzenu aliyelitafuta balaa katulia zake maeneo anakula raha tu nyie wapuuzi mnatafuta vifo vya kujitakia muache familia zenu zinahaha
Tumia akili MNAPIGWA! hamuoni hata kwa akili rahisi tu ya kawaida?! Dini ni biashara siku hizi… nakuacha na neno moja la mungu wenu
“Ya kaisari mwachie Kaisari na ya mungu mpeni mungu”
TAFAKARI!
Hawa waumini wamewazidi chake akili, wanapigania haki yao siyo kukimbia uchaguzi.Kosa lao ni kukosa akili
Yaani baada ya kuwa Mkweli dhidi ya Serikali dhalimu ndiyo mnaona anawatapeli waumini wake?? Mlikuwa wapi siku zote?? Serikali hiyo hiyo ndiyo iliyotoa Kibali cha kusajili Kanisa lile. Halikuona hilo??Nyinyi watu ni WAJINGA SANA AISEE! acheni hao mitume wenu wawe mabilionea kwa kukusanya bila jasho pesa za watu wapumbavu wa aina yako… jiulizeni tu kwa akili timamu yeye mwenyewe yuko wapi?!
Ana njaa na shida kama nyinyi?! Kauwasha moto kakimbia kawaachieni nyinyi balaa, mnatafuta vilema shauri zenu, SERIKALI HAIJARIBIWI!