Hivi naomba majibu Kwa Samia Hawa waumini wa Kanisa la Gwajima Wana makosa gani?

Hivi naomba majibu Kwa Samia Hawa waumini wa Kanisa la Gwajima Wana makosa gani?

Yaani baada ya kuwa Mkweli dhidi ya Serikali dhalimu ndiyo mnaona anawatapeli waumini wake?? Mlikuwa wapi siku zote?? Serikali hiyo hiyo ndiyo iliyotoa Kibali cha kusajili Kanisa lile. Halikuona hilo??

Ukweli unauma siku zote. Hayo ni maumivu yanayomnyima mtu fulani usingizi. Isitoshe kama Gwaji boy kaenda tofauti na mapenzi yenu, Waumini wake wamewakosea nini?? Acheni kupenda damu za watu kumwagika hovyo.
Acha kuongelea nyuma ya keyboard!… wanawake ndo huwa hivyo.
 
Mimi naona watajitafutia matatizo tu maana kanisa haliko moja, ya nini kutafuta vilema vya ukubwani na uzeeni hali ya kuwa wameshatangaziwa kanisa limefungwa na serikali kuu tukufu?! Si ni kuwatafuta watu ubaya huko?!
Kwanini wakasali makanisa mengine ilhali wana kanisa lao wamelijenga kwa mali zao?

Wewe mtu akikufukuza kwako unahamia kwa jirani?
 
Back
Top Bottom