Hivi nchi hii kuna watu wanapata maji safi na salama?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Maji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated.

Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu kuna maji ya namna hii. Ni sehemu gani nchi hii wanapata maji ya namna hiyo?
 
Arusha unakunywa kabisa
 
Ndio mkuu... Iringa tunakunywa tuu... Saafi kabisa.
 
Back
Top Bottom