Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hawatoi maji yao Mto Ruaha? Sidhani kama wanauwezi wa kutreat yale maji yakawa salama kunywa.Iringa
Arusha unakunywa kabisaMaji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated.
Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu kuna maji ya namna hii. Ni sehemu gani nchi hii wanapata maji ya namna hiyo?
Maji ya Arusha unakunywa kabisa ya kwenye Bomba make hawachukui maji kwenye mabwawa bali ni chini kwenye under ground streemLabda kwenye maporomoko ya Udzungwa
Lakini maji salama hayatakiwi kuharibu meno. Ile ni flourine imezidi inatakiwa kuondolewa.Arusha unakunywa kabisa