Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Kamanda bandiko wazi mbona haujaibu kama tumenufaika?Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Mtawala ni CCM (TANU halafu na Afro Shiraz); sasa wewe kuja kuanza na kulaumu upinzani kwa makoza yenu sijui unashindwaje kutengeneza point hapo? Kweli mnajitoa ubongo
Wapinzani watanufaisha vipi na nyie CCM mnawazuia kwa nguvu za dola wasionyeshe leadership? You don't give them opportunity to lead. Mnaua, all sosrts of intimidation.Kamanda bandiko wazi mbona haujaibu kama tumenufaika?
Kumbe alipigwa risasi zote hizo?Wapinzani watanufaisha vipi na nyie CCM mnawazuia kwa nguvu za dola wasionyeshe leadership? You don't give them opportunity to lead. Mnaua, all sosrts of intimidation.
Lisu risasi 38 mmemwaga, 17 zimempata bado mnataka kujua nchi inanufaikaje, are you kidding? Go and rant somewhere else
Sio mada ya kitoto kamanda, kwani mpaka uingie bungeni ndio uwe na hoja zenye mashiko?Malunde hii mada yako ya kitoto kweli, wapinzani zaidi ya kusema bungeni unataka wakasemee wapi kwingine? na kama kila wakisema bungeni hawasikilizwi Spika anailinda serikali na chama chake CCM ulitaka hao wapinzani wakasemee wapi kwingine ili wasikilizwe?
Au unataka wapinzani wachangie ujenzi wa SGR na Stiglers Gorge?
Siku nyingine ukiamka usingizini jipe muda wa kutafakari mambo, sio unakurupuka tu kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu.
Umejuaje ni wana CCM wakati wapinzani ndio waliozipeleka bungeni, weka ushahidi hapa tuuone wacha kutupigia kelele asubuhi.Unao uhakika kuwa skendo zote ufisadi ziliibuliwa na wapinzani? Hujui kuwa ni wanaCcm ndio waliziibua?
Mngekuwa mnaujua umuhimu wa wapinzani msingefanya yale maigizo yenu kwenye uchaguzi mkuu uliopita, ndio maana naona yote uliyoandika hapa ni utoto mtupu.Sio mada ya kitoto kamanda, kwani mpaka uingie bungeni ndio uwe na hoja zenye mashiko?
Ndiyo zote kubwa, ikiongozwa na richmond hadi kafulila alifikia kuitwa tumbili, halafu wana CCM walipambana sana kuwalinda wahusika, hadi kuna mbunge wa CCM ambaye Asumpta Mshana alifikia hadi kuwalaumu wanaoungana na wapinzani kuwakaanga wahusika kuwwa siyo wana CCM, inaelekea wana CCM hulindana kwenye ufisadi.Unao uhakika kuwa skendo zote ufisadi ziliibuliwa na wapinzani? Hujui kuwa ni wanaCcm ndio waliziibua?
Sidhani kama na wewe ni mmojawapoNimeleta hili bandiko kama swali ili wenye akili timamu tukipata majibu tujue ukweli upo wapi.
Ni kweli una umuhimu,lakini je ulishalinufaisha hili taifa tangu lianzishwe?Mimi ni uvccn,lakini naamini upinzani una faida zake,nyingi tu!
Red brigade?Upinzani umetengeneza ajira kwa vijana.