Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Ndugu zetu wakenya, ni wazi kwamba pamoja na shida nyingi za kiuchumi zinazoikumba serikali na wananchi wa Kenya, tatizo mama ni kukosekana kwa udhibiti wa uchumi wa Kenya, ambapo watu na makampuni machache yanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya.

Kitendo cha Kuwepo kwa watu wachache wenye nguvu za kiuchumi, kumewafanya wanasiasa wengi kuwa vibaraka wa matajiri na kuifanya serikali ya Kenya kuwa dhahifu sana mbele ya matajiri.

Magufuli amejaribu sana kupambana na hiyo hali kiasi cha kuweza kuongeza uwezo wa serikali ya Tanzania katika kumiliki uchumi wa nchi, hii ndio sababu kubwa ya Tanzania kuongoza Afrika ktk 1)Economic inclusiveness index, na 2) Kupunguza umasikini.

Kujifunza kwa jirani yako mambo mazuri ni ujasiri sio unyonge.
 
Unamaanisha wale wahindi ama?

Imekuingia...
Kenya ina makampuni kibao na yanamilikiwa na wakenya..
Hahahaha, umesikia jinsi Tanzania tulivyowachinja ACACIA?, hao ni wazungu ambapo huko Kenya hamuwezi hata kuwauliza, badala ya ACACIA tunaanzisha kampuni ambapo GoT itakua na 49% share, is it possible for Uhuru Kenyatta to ask any company belongs to whites?
 
Imekuingia...
Kenya ina makampuni kibao na yanamilikiwa na wakenya..
Unaelewa maana ya "Economic inclusivity?. Sio rahisi wa wakaazi wa Kibera, Samburu, Turkana na Mijikenda kuweza kumiliki makampuni, lazima serikali iwe na shares au imiliki makampuni katika maeneo nyeti ya uzalishaji Mali, hiyo ndio njia pekee ya kuwashirikisha raia katika kumiliki uchumi wao.

Katika hayo makampuni unayosema yanamilikiwa na wakenya, 80% ni wakikuyu, Kalenjin, Jaluo na Wakamba, makabila mengine yameachwa nje ya mfumo wa uchumi.
 
Naanza kushuku uwezo wako wa kufikiri..heheee!!km mnajali sana raia wenu mbna mkawaachia wale wahindi biashara za maana hku nynyi mkilima mihogo na korosho...
Km economic inclusivity maana yake serikali ni kumili makampuni kibao, rudi shule ukachuke fees zako
Unaelewa maana ya "Economic inclusivity?. Sio rahisi wa wakaazi wa Kibera, Samburu, Turkana na Mijikenda kuweza kumiliki makampuni, lazima serikali iwe na shares au imiliki makampuni katika maeneo nyeti ya uzalishaji Mali, hiyo ndio njia pekee ya kuwashirikisha raia katika kumiliki uchumi wao.

Katika hayo makampuni unayosema yanamilikiwa na wakenya, 80% ni wakikuyu, Kalenjin, Jaluo na Wakamba, makabila mengine yameachwa nje ya mfumo wa uchumi.
 
Ndugu zetu wakenya, ni wazi kwamba pamoja na shida nyingi za kiuchumi zinazoikumba serikali na wananchi wa Kenya, tatizo mama ni kukosekana kwa udhibiti wa uchumi wa Kenya, ambapo watu na makampuni machache yanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa Kenya.

Kitendo cha Kuwepo kwa watu wachache wenye nguvu za kiuchumi, kumewafanya wanasiasa wengi kuwa vibaraka wa matajiri na kuifanya serikali ya Kenya kuwa dhahifu sana mbele ya matajiri.

Magufuli amejaribu sana kupambana na hiyo hali kiasi cha kuweza kuongeza uwezo wa serikali ya Tanzania katika kumiliki uchumi wa nchi, hii ndio sababu kubwa ya Tanzania kuongoza Afrika ktk 1)Economic inclusiveness index, na 2) Kupunguza umasikini.

Kujifunza kwa jirani yako mambo mazuri ni ujasiri sio unyonge.

Naanza kushuku uwezo wako wa kufikiri..heheee!!km mnajali sana raia wenu mbna mkawaachia wale wahindi biashara za maana hku nynyi mkilima mihogo na korosho...
Km economic inclusivity maana yake serikali ni kumili makampuni kibao, rudi shule ukachuke fees zako
Tunajenga SGR, free cancer treatment, free education, roads, tunasambaza UMEME kijijini, MAJI hadi vijijini bure bila malipo, tumepunguza kodi nyingi ili wananchi waweze kufanya biashara, tungewezaje kufanya haya yote kama serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi?, unaelewa sasa kwanini serikali ikiwa na makampuni maana yake hilo kampuni linamilikiwa na raia wa hiyo nchi?.

Tatizo lenu ni kwamba serikali yenu na wananchi ni vitu tofauti, huku kwetu serikali ni mwananchi, kitu kikimilikiwa na serikali maana yake hicho ni kitu chetu sisi wananchi.
 
Hvyo ni vitu basic..hta serikali ya somalia na south sudan itafanya

Ninyi kila kitu mnakopa, Hamna uwezo wa kutoa "free treatment for cancer, wakenya ndio watu wenye kulipa kodi nyingi jambo lililopandisha gharama za maisha, na pengo kati ya masikini na tajiri ni kubwa sana kwa sababu wakenya walio wengi hawashirikishwi ktk uchumi wa nchi
 
😭😭😭 4.2% growth rate afu mnapika na kusema Ni 7% bure kabisa
 
Angalia idadi ya maskini matajiri na watu wa kipato cha kati kati ya kenya na tanzania...halafu urudi hapa uongelee hilo gapu
Ninyi kila kitu mnakopa, Hamna uwezo wa kutoa "free treatment for cancer, wakenya ndio watu wenye kulipa kodi nyingi jambo lililopandisha gharama za maisha, na pengo kati ya masikini na tajiri ni kubwa sana kwa sababu wakenya walio wengi hawashirikishwi ktk uchumi wa nchi
 
Angalia idadi ya maskini matajiri na watu wa kipato cha kati kati ya kenya na tanzania...halafu urudi hapa uongelee hilo gapu
1) Hamna uwezo wa kutoa tiba ya saratani bure, wakenya wengi wanateseka

2) Pengo kati ya tajiri na masikini ni kubwa sana

3)Kenya ni miongoni mwa nchi za mwisho ktk " Economic inclusiveness "

4)Uchumi unamilikiwa na watu wachache, wengi ni watazamaji.

5)Wakenya wanatozwa kodi nyingi, gharama za maisha zipo juu
 
Pitia hapa then uje ymuyasema hayo ya economic inclusiveness...manake naona kidogo hujapitia, una ruka ruka tu na usisahau population pia unapoangalia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Angalia idadi ya maskini matajiri na watu wa kipato cha kati kati ya kenya na tanzania...halafu urudi hapa uongelee hilo gapu
Gharama gani hzo...km tayari unga, sukari, ngano, mchele, uto bei zinakaribiana kenya na tanzania...then ukiangalia mapato ya mtanzani ni kidogo kulingana na mishahara yenu duni...
1) Hamna uwezo wa kutoa tiba ya saratani bure, wakenya wengi wanateseka

2) Pengo kati ya tajiri na masikini ni kubwa sana

3)Kenya ni miongoni mwa nchi za mwisho ktk " Economic inclusiveness "

4)Uchumi unamilikiwa na watu wachache, wengi ni watazamaji.

5)Wakenya wanatozwa kodi nyingi, gharama za maisha zipo juu
 
Usijitoe akili bandugu.
Kenya maisha yako bei juu sana mpk raia wenu wanalalamika.
Na kuhusu bidhaa ninyi tunakaribiana ktk maeneo ya mjini hususan Dar maisha ni bei.
Ila huko kwingine vitu vinauzwa nusu ya bei yenu ya huko ndogo.
Hakuna asiyejua kuwa maskini wa Tanzania anaweza kuishi kwa tsh 5000 kwa siku ambayo ukiibadilisha ni sawa na 225ksh.
Je maskini wa kibera ana uwezo wa kuishi kwa 225ksh km maskini wa Tandale???
Pitia hapa then uje ymuyasema hayo ya economic inclusiveness...manake naona kidogo hujapitia, una ruka ruka tu na usisahau population pia unapoangalia
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Gharama gani hzo...km tayari unga, sukari, ngano, mchele, uto bei zinakaribiana kenya na tanzania...then ukiangalia mapato ya mtanzani ni kidogo kulingana na mishahara yenu duni...
 
Back
Top Bottom