Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Kemu leta bei ya petrol na diesel hapa...
Halafu nasubiria uniletee vijiji kenya kando na northern kenya watu hawalimi wanategemea kununua vyakula madukani...

Tatizo mnajipandikizia mambo tu yasiyoeleweka...
Halafu km ni bei za bidhaa ni juzi tu tumecheki kenya na tanzania bei hazikupishana mbali...endeleeni kuunga juhudi tu, mkishtukizia nchi magufuli kaiharibu..

Katila awamu zote nne zilizopita, awamu hii tanzania maisha yamepanda zaidi mno...tanzania ya sasa sio ile ukiwa na tsh50k unajikuta uko juu....sai ni hela ndogo sana
hahahaha, haijawahi tokea Tanzania kuuza chakula kingi nje ya nchi kama hawamu hii, " Inflation rate kuwa stable and very low ", Shilingi ya Tanzania kuwa stable, na bei za vitu kuwa stable.

Haijawahi tokea miradi mikubwa kujengwa kwa wakati mmoja kama safari hii, bei za UMEME na MAJI kufikia kiwango cha chini kama wakati huu, hii ndio sababu wakenya wengi wanataka kuja kuishi Tanzania.
 
Tatizo takwimu umezitoa CCM headquaters, wakati kw ground ni tofauti
hahahaha, haijawahi tokea Tanzania kuuza chakula kingi nje ya nchi kama hawamu hii, " Inflation rate kuwa stable and very low ", Shilingi ya Tanzania kuwa stable, na bei za vitu kuwa stable.

Haijawahi tokea miradi mikubwa kujengwa kwa wakati mmoja kama safari hii, bei za UMEME na MAJI kufikia kiwango cha chini kama wakati huu, hii ndio sababu wakenya wengi wanataka kuja kuishi Tanzania.
 
Heheeee!!tatizo waliozipiga hzo hesabu, hyo 7% hawaitambui
Tanzania 2014 GDP ilikua $47B, kwa ukuaji wa 7% by 2018 umefikia $57B, ukifanya hesabu ni kweli na zinakubali. Haiwezikani Kenya 2014 ilikua %61B, na kwa kasi ya 5.6% kufika $90B, ukifanya hesabu utagundua ukweli. Hahahaha, hahahaha.
Halafu ujue huwez linganisha 5% ya billion na 10% ya million
 
Naona unaongea tu...wakati ukwel ulidhihirika....
Ishu ya mafuta, niletee bei ya petrol na diesel bongo nikupe ya hku kwetu
Unajua sana kuropoka.
Bei ya bidhaa ya kwetu na yenu haziwezi kulingana hata kidogo ondoa upuuzi.
Tanzania Magufuli ameijenga wala haibomoi.
Hiyo 50k unayoisemea mm huitumia kununulia kilo 20 za mchele mzee baba hapo tu Mpanda katavi na ni hela kubwa bado.
Asa sijui kwa kenya utanunulia nini?

Km ni kwenu hyo aliyejinonga mngelimuita mpiga dili...

Anyway, kwnn watu hko kwenu huwauza watoto kupitia njia za kishirikina, je huaga inaletwa na shibe...manake kw kujisifia shibe hamjambo
Ukazaji wa maisha Tz sio km wa Kenya.
Sawa Tz wapo ila wana hauheni.
Rafiki yangu ww mpk kuna watu hususan wahitimu vyuo wanajinyonga kisa kukwepa ugumu wa maisha????
Kenya mna hali mbaya kutuliko.
Kwenye masuala ya bidhaa huko sina cha kuongezea nenda maeneo km Tabora hv Mwanza unaishi kwa siku hadi na 4000tsh kwa siku mambo yanaenda.
 
Hatutaki upuzi wa Magufuli uku..mpumbavu anayepiga risasi wapinzani wake na kuwakamata wanahabari. Uyo ni dikteta wa Hali ya juu!
 
Mi naongelea bei za bidhaa kw sasa...
Waona nakudanganya nn?
Sasa kama gharama za uzalishaji bidhaa zipo juu na kodi zipo nyingi huko kwenu kuliko Tanzania na Uganda kiasi cha kuzifanya bidhaa za Kenya kuwa ghali, itawezekanaje bei ya bidhaa ziwe "cheaper" Kenya kuliko Tanzania au Uganda?
 
Shithole yourself.

Shithole mimi ambae ni Mtanzania which in turn makes Tanzania a shithole in full circle!

By association na wewe ni shithole!

With all these we are quietly very wrong!

Infact Tanzanian people are different from Tanzanian CCM government which is a shithole!

Thank you madam!
 
Piga wewe kama haitofika $57 by 2018 na $63B by 2019 kwa kutumia 7%. Ukipiga hesabu kwa Kenya kuanzia 2014 $61B hadi 2019 inakupa $75B tu.
Heheeee!!tatizo waliozipiga hzo hesabu, hyo 7% hawaitambui
Halafu ujue huwez linganisha 5% ya billion na 10% ya million
 
Km ni kwenu hyo aliyejinonga mngelimuita mpiga dili...

Anyway, kwnn watu hko kwenu huwauza watoto kupitia njia za kishirikina, je huaga inaletwa na shibe...manake kw kujisifia shibe hamjambo
Sijui umenielewa??
Kule sio km watu wanauza watoto zao laa bali washirikina walikua wakikamata watoto na kuwatumia ktk mambo ya kishirikina.
Ndio maana nimesema ukazaji wa vyuma wa Kenya na Tanzania haufanani wa Kenya umezidi babuuu.
Na zile imani za kishirikina zishatupiliwa mbali sasa hivi.
Ila kwenu hadi sasa watu hususan wanachuo hu commit suicide kuhofia ugumu wa maisha.
 
Ninyi kila kitu mnakopa, Hamna uwezo wa kutoa "free treatment for cancer, wakenya ndio watu wenye kulipa kodi nyingi jambo lililopandisha gharama za maisha, na pengo kati ya masikini na tajiri ni kubwa sana kwa sababu wakenya walio wengi hawashirikishwi ktk uchumi wa nchi
Ubaya ni kwamba unasema haya yote yet you can't prove even one
 
Shithole mimi ambae ni Mtanzania which in turn makes Tanzania a shithole in full circle!

By association na wewe ni shithole!

With all these we are quietly very wrong!

Infact Tanzanian people are different from Tanzanian CCM government which is a shithole!

Thank you madam!
S 🐵
 
Leo wangapi wamejinyonga..
Manake naona umepinga kihuni huni tu
Sijui umenielewa??
Kule sio km watu wanauza watoto zao laa bali washirikina walikua wakikamata watoto na kuwatumia ktk mambo ya kishirikina.
Ndio maana nimesema ukazaji wa vyuma wa Kenya na Tanzania haufanani wa Kenya umezidi babuuu.
Na zile imani za kishirikina zishatupiliwa mbali sasa hivi.
Ila kwenu hadi sasa watu hususan wanachuo hu commit suicide kuhofia ugumu wa maisha.
 
Heheeee!!waliopiga hesabu unafikiria wanaitambua hyo 7%...jamaa wanajua 4% bana...
Halafu 5% ya billion ni nyingi kuliko 10% ya million...nadhan umeshanielewa
Piga wewe kama haitofika $57 by 2018 na $63B by 2019 kwa kutumia 7%. Ukipiga hesabu kwa Kenya kuanzia 2014 $61B hadi 2019 inakupa $75B tu.
 
Sasa ndio intakiwa ushangae..jiulize mbna bei ya bidhaa, petrol, diesel kenya hazipishani mbali na tanzania...wakati mapato ya mtanzania wa kawaida ni kiduchu...
We kubali awamu hii vyuma vimekaza...

Halafu kuhusu kodi, sisi hku hatutozwi kodi za kijing jinga km za kisima na machinga

Back
Top Bottom