Hivi ndio jinsi Kenya itakavyoweza kurudusha uchumi kwa wakenya " through Magufulification of Kenyan Economy"

Hayo maelezo hayabadilishi km hzo bidhaa bei kenya na tanzania hazikupishana sana...
Halafu ksh 200 mbna maskini ywala vizuri sana...
Tatizo mnapenda kupandikiziana vitu msivyovijua..

Anyway, nikuulize tanzania ndiko hamna watu wanaosema maisha magumu..hyo huaga ni perspective tu ya raia wengi duniani..hta marekani si ajabu kuna watu pia wanasema vyuma vimekaza awamu hii ya trump
 
Acha ubishi wa kijinga, sababu kubwa ya kushuka kwa Kenya "Exports" ni kuongezeka kwa gharama kubwa za uzalishaji Kenya ukilinganisha na Uganda na Tanzania, hii inamaanisha gharama za bidhaa Kenya ziko juu haziwezi kushindana na Uganda na Tanzania.

Jiulize inawezekanaje bei ya Diesel, Petrol na Lubricants ambavyo vyote hutoka Uarabuni na kupitia Mombasa kwenda Kampala, Rwanda na Burundi, lakini ni ghali zaidi Kenya kuliko hizo nchi zingine zote za EAC?, hii ni kwasababu Kenya kuna kodi nyingi sana.

Haya yote ukiyaweka kwa pamoja, ndiyo yanayosababisha gharama za maisha kuwa juu Kenya kuliko nchi zingine. Tanzania 80% ya wanainchi wanaoishi vijijini wanajilimia chakula chao, wakati huko Kenya 70% ya watu vijijini wanategemea kununua chakula, ndio sababu Kenya lazima kuagiza chakula toka nje kila mwaka.
 
Ni vyema uwe ukiweka sources za takwimu zako, ama itabaki kuwa ushabiki
 
Hawana uthubutu huo...

It needs guts and heart of steel kupambana na matajiri... tena wengine unakuta ndiyo waliyokuweka madarakani...


Cc: mahondaw
 

Anaeongea hivyo ni looser pumbavu lenye uchumi hovyo 1/3 ya uchumi serious wa Kenya???

CCM mnajitia aibu sana maboya nyie!
 
Ni vyema uwe ukiweka sources za takwimu zako, ama itabaki kuwa ushabiki
Kwamba Diesel na Petrol ni ghali Kenya kuliko Uganda na Tanzania?, kwamba gharama za uzalishaji Kenya ziko juu ukilinganisha Uganda na Tanzania?, kwamba Kenya haina uwezo wa kujilisha badala yake unategemea kuagiza chakula toka Tanzania na Uganda?, unahitaji nikuwekee sources kuhusu hayo, wewe hujui lolote kuhusu hayo really?.
 
Anaeongea hivyo ni looser pumbavu lenye uchumi hovyo 1/3 ya uchumi serious wa Kenya???

CCM mnajitia aibu sana maboya nyie!
Pumbavu ni MTU ambaye anaweza kuamini hesabu za kijinga bila kutumia akili. Acha kushikiwa akili na watu wengine, shule ulienda kuchaza mpira na sio kuelimika?.

Uchumi wa Kenya 2014 ulikua $61B, kwa ukuaji wa wastani wa 5.6% kwa mwaka, Fanya hesabu mwaka 2018 utafikia kiasi gani?. Tumia akili acha upoyoyo.
 

Na mpumbavu pekee ndio ataamini Takwimu za Jiwe na CCM!

Tangu lini takwimu za madikteta zikaaminika duniani hapa?

Hakuna pumbavu hapa!

Kenya is economy ni Three Times The Economy of My Shithole Country Tanzania!

Hutaki andamana mwehu wewe!
 
Kemu leta bei ya petrol na diesel hapa...
Halafu nasubiria uniletee vijiji kenya kando na northern kenya watu hawalimi wanategemea kununua vyakula madukani...

Tatizo mnajipandikizia mambo tu yasiyoeleweka...
Halafu km ni bei za bidhaa ni juzi tu tumecheki kenya na tanzania bei hazikupishana mbali...endeleeni kuunga juhudi tu, mkishtukizia nchi magufuli kaiharibu..

Katila awamu zote nne zilizopita, awamu hii tanzania maisha yamepanda zaidi mno...tanzania ya sasa sio ile ukiwa na tsh50k unajikuta uko juu....sai ni hela ndogo sana
 
Uchumi wa tanzania umekua kw wastani wa asilimia saba km mnavyosema...mbna basi mmekwama pale pale hamsongi
 
Ukazaji wa maisha Tz sio km wa Kenya.
Sawa Tz wapo ila wana hauheni.
Rafiki yangu ww mpk kuna watu hususan wahitimu vyuo wanajinyonga kisa kukwepa ugumu wa maisha????
Kenya mna hali mbaya kutuliko.
Kwenye masuala ya bidhaa huko sina cha kuongezea nenda maeneo km Tabora hv Mwanza unaishi kwa siku hadi na 4000tsh kwa siku mambo yanaenda.
 
Kwan takwimu za ukuaji na GDP yetu imeshatoka ya 2019??
Subiri itoke kwanza ndio uongee.
Uchumi wa tanzania umekua kw wastani wa asilimia saba km mnavyosema...mbna basi mmekwama pale pale hamsongi
 
Na mpumbavu pekee ndio ataamini Takwimu za Jiwe na CCM!

Tangu lini takwimu za madikteta zikaaminika duniani hapa?

Hakuna pumbavu hapa!

Kenya is economy ni Three Times The Economy of My Shithole Country Tanzania!

Hutaki andamana mwehu wewe!
Shithole yourself.
 
Acha kujiliwaza gharama za uzalishaji Kenya ziko juu sana. Soma hii article ya kitaalamu, acha kubisha vitu usivyojua
 
Unajua sana kuropoka.
Bei ya bidhaa ya kwetu na yenu haziwezi kulingana hata kidogo ondoa upuuzi.
Tanzania Magufuli ameijenga wala haibomoi.
Hiyo 50k unayoisemea mm huitumia kununulia kilo 20 za mchele mzee baba hapo tu Mpanda katavi na ni hela kubwa bado.
Asa sijui kwa kenya utanunulia nini?

 
Uchumi wa tanzania umekua kw wastani wa asilimia saba km mnavyosema...mbna basi mmekwama pale pale hamsongi
Tanzania 2014 GDP ilikua $47B, kwa ukuaji wa 7% by 2018 umefikia $57B, ukifanya hesabu ni kweli na zinakubali. Haiwezikani Kenya 2014 ilikua %61B, na kwa kasi ya 5.6% kufika $90B, ukifanya hesabu utagundua ukweli. Hahahaha, hahahaha.
 
Na mpumbavu pekee ndio ataamini Takwimu za Jiwe na CCM!

Tangu lini takwimu za madikteta zikaaminika duniani hapa?

Hakuna pumbavu hapa!

Kenya is economy ni Three Times The Economy of My Shithole Country Tanzania!

Hutaki andamana mwehu wewe!
Kwa wapumbavu pekee ndio wataamini Maneno ya kijinga, watu wenye akili huwa kila wanaloambiwa lazima walitafakari na kulifanyia hesabu upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…