Pre GE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We Kapongo, hivi Kasongo ni ndugu yako?
 
Wahariri wengu bongo hii ni makasuku wa mfumo, wengine ni waoga, wengine wananufaika na mfumo huu dhalimu.
 
Unajuwa maana ya United republic of Tanzania au unajitoa ufahamu. Nakupa mifaano ya nchi zaidi ya moja kuungana. United Kingdom, United states of America, United arab emirates zingine endeleza wewe......
Itakuwa hujui aina za miungano
Tafadhaali fahamu kwamba kuna unitary type na federalism type.
Nchi zikiungana zinapendekkeza Mungano wa aina gani kati ya aina mbiii hizo.
Tanzania tulichagua unitary type .
Hata katiba yetu inaeleza hivyo.
Tafadhali soma katiba yetu ukurasa wa kwanza.
Pia jielimishe kuhusu aina za miungano ya serikali

Dah kumbe wewe jamaa ni kilaza namna hii ndio maana unabishana kipuudhi akili zako ni ndogo sana
 
Umezunguka mwisho wa siku hapa sijakuelewa unataka kusema nini. Swali Tanzania ni nchi mbili au nchi moja.
 
Haya mwenye akili kubwa sisi na UK ni unitary umeonaje uwakilishi wa Scotland, Wales na NI? wale wana madaraka yao ya ndani makubwa tu na pia wana uwakilishi mkubwa kwenye serikali kuu.
 
Ni bora kuondoa rasmi jina United republic of Tanzania iwe Republic of Tanzania.
Ndio.maana watu wenye akili kukuzidi wewe ambaye hata haueleweki upo wapi wanata reforms
Reforms kwenye katiba hadi mifumo ya uchaguzi.
Nakushauri badala ya kubishabisha vitu ambavyo huvielewi jaribu kujielimisha kidogo manake coments zako zinaonyesha jinsi ulivyo mpumbavu
 
U
Umeandika kichawa sana, usitusemee sie tusioendekeza njaa na uchawa
 
Wahariri wanajua dhulma zote lkn wanavizia teuzi,matangazo ya biashara Toka serikalini na wanahofu wasifungiwe au kuazoriwa gwanda.
Ni aibu kwamba tuna wanahabari wengi maskini,wenye njaa za vyeo,wanaojipendekeza kwa Rais nawatu wake kichawachawa.
 
Yaani wewe katika watu wana akili ndogo wewe jitafakari, maana nakusoma hata sikuelewi unasimamia nini naona unaandika tu mwisho hujui huyu mtu anaongea nini? wapi nimesema nataka reforms na wapi nimesema nataka katiba. jingaaaa kubwa njaa mbaya sana.
 
Baada ya kukukosma nimekuelewa mwana Chadema mwanaharakati. Reform mama yako mbwa wewe mtabaki humu humu mitandaoni. Nani awape nchi kenge nyie njaa mpaka matakoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…