Smart Dude
Senior Member
- Sep 23, 2023
- 114
- 161
Kama kigezo ni eloquency nafikiri wapo wengi tu. Kabudi? January? Tax? and the list goes on.. kuna namna watanzania tunajidharau sana.Hii nchi tunachojari ni kuishi Leo, hatuna principle yoyote,tunaishi kichawa tu,
Juzi nilikuwa naangalia mahojiano ya Kimani Ichungwa, Majority leader katika bunge LA Kenya, na Mehdi Hassan wa Al Jazeera, head to , head, nikawaza hv ukiacha mkapa, kuna mtu yoyote kwenye ccm anaweza kuwa eloquent kiasi kile?, tuna maprofesa, na madokta ambao wakiongea, utafikiri ni vijana wa std 7! jiwe na ndalichako
On top of that English sio lugha yetu ya kwanza au ya pili… by the way BWM alikuwa mwanahabari…