kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Jiongeze mkuu, usifikiri kusikiliza vipind kama hivi ndio wajinga, kila mtu anaburudani na ulevi wake baada ya kazi, tena wana hatua kubwa kimaendeleo tuKwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
father mkali yule sijawai kuonaRadio Maria pia, wanakipindi chao na Father Mhagama, huwa nakipenda sana
Kwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
kilimo cha redioni ? huna lolote kama wewe mwanaume nenda shamba ukalimeKwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Wanaboa,pale wachangiaji wengi huwa Ni walewale.Malumbano ya hoja ni kipindi kizuri.
Napenda kuona wananchi wa kawaida wakijenga hoja ya mambo mbali mbali.
Usihamaki dada yangukilimo cha redioni ? huna lolote kama wewe mwanaume nenda shamba ukalime
Sio cha kusikiliza na watoto hiko kipindiikuna siku alikuwa anamuhoji dogo janja,akamuuliza nasikia dogo una kitu cha hatare halafu wewe sio mtu wa one minute.dogo akamuambia yap
akamwambia sio nakupa halafu sekunde wazungu haao .yaani ungesikia hayo mahojiano ungejua gigy mbaya!
Hapo ndio nimetumia akili , Nisingetumia akili nadhani ningeandika lugha chafu.Kwani hiki ni program ya redio tumia akili
ni mawazo yako sio mbayaKwa kwa vipindi hivi mlivyotaja, tutaendelea kupigwa bao kimaendeleo na wenzetu, tutabaki kuwa soko la bidhaa zao.
Mimi napenda kusikiliza kipindi cha "ukulima wa kisasa na ufugaji wa kisasa" TBC Radio enzi hizo RTD , kipo kila siku Alhamis saa 8 mchana.
Radio Maria pia, wanakipindi chao na Father Mhagama, huwa nakipenda sana