Mahingika junior
Member
- Oct 3, 2012
- 29
- 3
wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.saut 2.arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.muccobs ,ahsanteni
we tahira kweli,unaleta pumba apa unategemea sapoti,lazima utakua first year wewe
hujielewi wewe......Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
wacha ubwege MUCCoBS itoe hapo
Mwanafunzi mbovu ni yupi? TCU ina minimum qualifications for admission-kila mwanafunzi aliefikia hizi minimum qualifications ana haki ya kupata chuo kama nafasi ipo. So hii sio issue unless wanaokuwa admitted hawakufikia hizo minimum qualifications. Mwanafunzi mzuri anajua ukishajiunga na chuo kazi inaanza upya hubebwi na ufaulu wako wa A level kwenye performance yako chuo.
Uwepo wa Wahadhiri ni relative na inategemea uchapaji wao wa kazi. Sitatetea kwa hili kwani lataka utafiti wa kutosha. Ujue pia kuwa kuna vyuo walimu wapo lakini "hawaonekani" hivyo namba tu zinaweza kudanganya. Je mwenzetu umefanya utafiti kuhusu hili au ni impression yako tu?