Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.saut 2.arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.muccobs ,ahsanteni

ulifanya utafiti au bado unatumia akili za watoto wa form one.
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
hujielewi wewe......
 
Mwanafunzi mbovu ni yupi? TCU ina minimum qualifications for admission-kila mwanafunzi aliefikia hizi minimum qualifications ana haki ya kupata chuo kama nafasi ipo. So hii sio issue unless wanaokuwa admitted hawakufikia hizo minimum qualifications. Mwanafunzi mzuri anajua ukishajiunga na chuo kazi inaanza upya hubebwi na ufaulu wako wa A level kwenye performance yako chuo.

Uwepo wa Wahadhiri ni relative na inategemea uchapaji wao wa kazi. Sitatetea kwa hili kwani lataka utafiti wa kutosha. Ujue pia kuwa kuna vyuo walimu wapo lakini "hawaonekani" hivyo namba tu zinaweza kudanganya. Je mwenzetu umefanya utafiti kuhusu hili au ni impression yako tu?
 
We vp ,unajua maana ya vyuo vya kata?unajua maana a shule za kata?
 
Jieshimu akuna chuo kilichi toa wafanya kazi wengi serikalini kama cbe .cbe kilianzishwa mwaka 1967 kwa sheria ya wizara ya viwanda na biashara so mwaka Jana ili Fanya mahafali 49 sasa kijana utasemaje ni chuo cha kata wakati baba wataifa alikianzisha usiwe mjinga!!
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

wacha ubwege MUCCoBS itoe hapo
 
Mwanafunzi mbovu ni yupi? TCU ina minimum qualifications for admission-kila mwanafunzi aliefikia hizi minimum qualifications ana haki ya kupata chuo kama nafasi ipo. So hii sio issue unless wanaokuwa admitted hawakufikia hizo minimum qualifications. Mwanafunzi mzuri anajua ukishajiunga na chuo kazi inaanza upya hubebwi na ufaulu wako wa A level kwenye performance yako chuo.

Uwepo wa Wahadhiri ni relative na inategemea uchapaji wao wa kazi. Sitatetea kwa hili kwani lataka utafiti wa kutosha. Ujue pia kuwa kuna vyuo walimu wapo lakini "hawaonekani" hivyo namba tu zinaweza kudanganya. Je mwenzetu umefanya utafiti kuhusu hili au ni impression yako tu?

we nae sijui kama unajielewa,kwani div one pts 3 zinazoenda ud na mzumbe ni sawa na div 3 pts 17 zinazoenda muccobs au cbe?tukubali au tukatae,chuo bora huchukua wanafunzi bora,na chuo cha hovyo huchukua wanafunzi wa hovyo kama wewe hapo.
 
Back
Top Bottom