Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

mtoa mada naomba uniambie n engineer gan wa ud au huko mzumbe au sua aliegundua ktu hapa dunian mpaka uviite n vyuo bora than others..?wapo tu wanatumikia.vya wenzao.kama wao hawajasoma.shwain.
team vyuo vya kata hapa
 
HUU ni upumbafu,pamoja na kwamba elimu yangu haitokani na vyuo tajwa. chuo si kigezo cha akili ya mtu wala mtihani haujawahi kuwa kipimo sahihi cha akili,wapo walioonekana wana akili&nbsp; shule ya msingi wakachaguliwa mzumbe,tabora boys,iliboru,kibaha na wale wenye akili kidogo kwa sababu ya marks zao wakapeelekwa st kayumba,form 4 hata mzumbe tabora na kibaha wengine kati ya hao wenye akili wanafeli huku walioonekana hawajui ama hawana sifa wanachanja mbuga, form five wanaoitwa wenye sifa wanaenda shule za serikali na wasio na akili wale wakureseat wanajitafutia private,cha ajabu kwenye matokeo yanayotokana na mtihani mmoja wa taifa unakuta wale wa kureseat wamechanja mbuga kuliko wale walioonekana wana akili, nakuambia leo kuna watu wanasoma UD ama MZUMBE ama SUA lakini pia wana uwezo mdogo ukilinanisha na hao unaowasema ni wa vyuo vya kata, na ninakuapia kama kungekuwa na mtihani wa kitaifa wa chuo kikuu kungekuwa na wanafunzi bora wanatokea kwenye hivyo vyuo vya kata, lakini leo unadhani kuwa wote wanaosoma huko ni mbulula<br><br>,PIA MATOKEO KAMA YANGEKUWA NDIO KIPIMO CHA AKILI BASI AKINA STIVE JOBS WASINGEFANYA LOLOTE, TUNATAKA WATU WAJIDAI KWA MAFANIKIO YA TAALUMA ZAO NA SI KWA VYUO WANAVYOTOKA, watu hawagundui chochote wamebaki kujisifia kusoma UD ama mzumbe ama kwingineko kokote, ni ushenzi tu,
 
acha umbulula wewe uliwahi kusoma kwenye chuo kimoja kati ya hivyo ulivyovitaja hapo?
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

Nakupa tu Kazi Moja Hebu Zunguka ktk Ofisi Zote za Serikali Kuanzia Kwa Mkuu Wako MJOMBA Jumba Jeupe, Wizarani Kote, Manispaa na Halmashauri Zako na Pia ktk Sekta Binafsi Usipokuta Products Nyingi Za SAUT Ninyonge Nikafie Mbali na Labda Nikusaidie tu Leo hii Vyuo ambavyo Vinaongoza Kwa Kutoa Ajira Kwa Wahitimu Wake ni SAUT, MZUMBE, TUMAINI na Kidogo Sana UDSM na I stand to be Corrected ktk Hili na Nina Uhakika Nalo. Pia Nionavyo Wewe Una Ajenda Binafsi na Hivyo Vyuo Ulivyovitaja na Haswa Ya Kuvichafua. Nachukua Gamba La Pili SAUT Dar Campus na Tuna Wanafunzi Wengi Sana Waliosoma Mass Com na Journalism Zao UDSM na Hata Vyuo Vikuu Vingine ila Wenyewe Wanasema Japo Hivyo Vyuo Vyao Vinatoa Masters Ya Mass Com ila Wanaipenda Masters Ya SAUT Kwani ina Vitu Vingi Vya Ziada. Nitafutie Mtu Aliyepita SAUT ambaye hana Ueledi. We Build The City of God na Najivunia Sana Kuchukua Gamba la Kwanza SAUT Mwanza na Sasa tena Nachukua Gamba Langu La Pili hapo hapo SAUT. Tujivunie Ubora na Siyo Umesoma ktk Chuo Gani. Naviheshimu Vyuo Vyote na Taasisi Zote za Elimu Nchini Tanzania ila SAUT Ni Habari Nyingine na Wenye Akili Zao Watakubaliana na Mimi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
we nae sijui kama unajielewa,kwani div one pts 3 zinazoenda ud na mzumbe ni sawa na div 3 pts 17 zinazoenda muccobs au cbe?tukubali au tukatae,chuo bora huchukua wanafunzi bora,na chuo cha hovyo huchukua wanafunzi wa hovyo kama wewe hapo.

Na wewe hujawahi kujua div 1 nyingi za Tz ni za kuchakachua?
 
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni

pole.
una mawazo mafupi sana.
how much money do you have au mshahara mkubwa kwa kusoma chuo kikubwa? kabla hujaleta hizi thread za kitoto tafakari sana kama uliyeelimika.
 
umetumia vigezo gani ndugu...? hapa ni jumba la GT's peleka facebook huo upuuzi wako.
 
There is elements of truth in this thread, angalia GPA zinazo gawiwa vyuo vya private ni za juu na kudisco ni kwa nadra au hakuna. Sasa je wote wana uwezo? Kuna vyuo kama SUA, UDSM,UDOM hata ukipata GPA YA 2.5 huyo mtu anauwezo mkubwa kwa kichwa. Lakini kuna jamaa zangu tulisona nao Adv walikuwa poor academically, wakapata 3 ya mwisho lakini walivyo kwenda private universities wana GPA si chini ya 4 kila mmoja. Hivyo vyuo vya private vingi vinawachukulia wanafunzi wake kama wateja kwa kuwapa alama nzuri ili na kesho waje au walete ndugu zao. Fanya research utapata majibu.

Kafie mbele na GpA yako ya 2 bhna, mbona uD mwaka jana kaongoza mdada wa Computer science kwa GPA ya 4.7 utasema hapo napo n private kapewa,?ufauru wa nexta n tofaut kabsa na chuon,ww umetoka na cjui one yako au two ukabweteka ba bumu la mkopo wenzako wamekuja na three wanakaza kinoma noma leo wanatoka na 4.4 GpA wasingizoa private?shame on yo asii
 
nimesoma CBE na nimepata ajira nzuri sana nimeacha graduators wa UDSM bado wanatafuta ajira mdogo wangu, elimu ni comitment yako mkuu, kama unasoma soma kweli lakini ukija mtaani utatamani uludi chuo kupokea bum.

Mbona Mulugo alipata ajira nzuri elimu yake ikoje? Unaweza kupata ajira nzuri kwa kupewa tu na usiwe unaistahili nafasi uliyopewa!
 
mi nilisoma vyuo vya kata lakini leo ni boss na ninawaongoza waliosoma vyuo visivyo vya kata alafu bro wangu nae alisoma vya kata lakini ana kampuny na amewaajiri hao unaowaita hawajasoma vyuo vya kata .so hacha vikra za kizee

Elewa mada wewe! Kuwa boss sio ukosawa kichwani na kama ulipigwa 0713--- au ulivua chupi tunajuaje? Tunaongelea real competency ya kudeliver.
 
Natamani ungesoma historia ya SAUT ndo uanze kuongea maharage yako. Mi nimesoma SAUT, UDSM na OUT na elimu nakuzidi kwa mbali sana. Umekosa ya kuandika? Kuna watu mashuhuri waliosoma katika baadhi ya vyuo hivyo lakini hawana maringo kama yako. Huenda hata kazi huna!

Mwana JF Mwenzangu Heko Sana na Hakika UMEKATA MZIZI WA FITINA.
 
Back
Top Bottom