Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Kijana maliza hicho chuo chako halafu mkutane kwenye mtanange wa ajira hapo ndiyo utajua mziki unavyochezwa!
we nae sijui kama unajielewa,kwani div one pts 3 zinazoenda ud na mzumbe ni sawa na div 3 pts 17 zinazoenda muccobs au cbe?tukubali au tukatae,chuo bora huchukua wanafunzi bora,na chuo cha hovyo huchukua wanafunzi wa hovyo kama wewe hapo.
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT 2.Arusha university 3.tia 4.cbe 5.teofilo kisanji 5.MUCCoBS ,ahsanteni
Nipo rafiki, kwema huko????Helooow!
Nipo rafiki, kwema huko????
Nafurahi kusikia hivyo, huku pia kwema kabisa.Kwema kabisa tunamshukuru Mungu, hope na kwako pia.
Nafurahi kusikia hivyo, huku pia kwema kabisa.
There is elements of truth in this thread, angalia GPA zinazo gawiwa vyuo vya private ni za juu na kudisco ni kwa nadra au hakuna. Sasa je wote wana uwezo? Kuna vyuo kama SUA, UDSM,UDOM hata ukipata GPA YA 2.5 huyo mtu anauwezo mkubwa kwa kichwa. Lakini kuna jamaa zangu tulisona nao Adv walikuwa poor academically, wakapata 3 ya mwisho lakini walivyo kwenda private universities wana GPA si chini ya 4 kila mmoja. Hivyo vyuo vya private vingi vinawachukulia wanafunzi wake kama wateja kwa kuwapa alama nzuri ili na kesho waje au walete ndugu zao. Fanya research utapata majibu.
nimesoma CBE na nimepata ajira nzuri sana nimeacha graduators wa UDSM bado wanatafuta ajira mdogo wangu, elimu ni comitment yako mkuu, kama unasoma soma kweli lakini ukija mtaani utatamani uludi chuo kupokea bum.
mi nilisoma vyuo vya kata lakini leo ni boss na ninawaongoza waliosoma vyuo visivyo vya kata alafu bro wangu nae alisoma vya kata lakini ana kampuny na amewaajiri hao unaowaita hawajasoma vyuo vya kata .so hacha vikra za kizee
Natamani ungesoma historia ya SAUT ndo uanze kuongea maharage yako. Mi nimesoma SAUT, UDSM na OUT na elimu nakuzidi kwa mbali sana. Umekosa ya kuandika? Kuna watu mashuhuri waliosoma katika baadhi ya vyuo hivyo lakini hawana maringo kama yako. Huenda hata kazi huna!