Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweseeni 🤣🤣🤣Nimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
View attachment 3086726
Kwa Mwamba wa Lusaka triple C, au sio ???!Ii watalaamu wa code waliopita cuba state university wanaelewa hapa hii ni mlo wa jioni kwa wakubwa ndani ya clotus chota ...
Hakupita amesaidia tu kuingiza pesa kwenye chama kwa kununua fomuNimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
View attachment 3086726
Rushwa na ushirikinaWagombea mazoba
Wanaowachagua na sijui watu gani...eti any kweseni
Ova
NchimbiIi watalaamu wa code waliopita cuba state university wanaelewa hapa hii ni mlo wa jioni kwa wakubwa ndani ya clotus chota ...
Lazima achaguliwe kwa rushwaJamani weeeeeeee
Inasikitisha.. Tanzanians wengi hawapo serious na nafasi wanataka kupata kiungozi.
Mnitag akichaguliwa..
Na atapita kwa kishindoMpaka aibu yaani!
mambo ya jamhuri ya ukimani ni mangumu kwerikweriNimeangalia hii video nimeshindwa kuelewa tofauti ya Kuuza sera na "Kujiuza" ni ipi. Shame.
View attachment 3086726
Wangekuwa wanatumia Kiswahili tu"....any kweseni..."... hawa ndio wanasababisha tuzodolowe huko EALA kwa kutuletea " chagueni embe dodo"...