Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

Hata asiposhinda..ataambulia uDC, sabb waliompitisha kote huko wana lengo lao, kwenye vetting makini huyu hawezi kupenya km maneno ya kuombea kura ndio haya..
Hayo maneno yalikuwa ni ya mwisho kabisa ili kuwafurahisha wajumbe wampe kura zao 🙌👍🙏

Wampe tu kura mjukuu wetu 🙌🙏🙏👍
 
Watu wamekosa kweseni kwa embe dodooo!
Tangu lini embe dodo linakuwa na kweseni ndugu yangu? wewe ni kualingalia tu huko juu kama limeiva, kisha unaanza kulirushia mawe hadi lidodonge... likidondoka tu, wewe mbio kwenda kulichukua, unalipangusa vumbi na kuanza kulila hapo hapo bila kujali kama lina mauchafu mwingine... kipya kinyemi.... na kipenda roho hula nyama mbichi...

Embe dodo:
View: https://youtu.be/nXS9DSg3qN8?si=jCOogQGJefxCrTgD
 
Duuuuuh! Kajifananisha na embe dodo lililoiva kutoka shinyanga, hatari sana hakiyanani!
 
Tangu lini embe dodo linakuwa na kweseni ndugu yangu? wewe ni kualingalia tu huko juu kama limeiva, kisha unaanza kulirushia mawe hadi lidodonge... likidondoka tu, wewe mbio kwenda kulichukua, unalipangusa vumbi na kuanza kulila hapo hapo bila kujali kama lina mauchafu mwingine... kipya kinyemi.... na kipenda roho hula nyama mbichi...
Shida ni siku embe dodo likitakiwa ku defend nchi huko nje yanakuwa Yale ya "on behalf of myself"
 
Back
Top Bottom