Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

Maana ya dodo ni embe ambalo lineiva Kwa kuliwa na yeyote anayelitaka.Hii Nchi inawagombea balaaa
 
Hakupita amesaidia tu kuingiza pesa kwenye chama kwa kununua fomu
We unajua hakuenda kimkakati?
Ukute fomu tu alilipiwa,na hapo kajinadi kua ni mtamu kama sukari,wawahi nafasi ya kumuonja,we unadhani kagombaniwa na wahemiwa wangapi hadi akatamani angekua na matobo matatu au zaidi,maana wadau watakua wengi wakiotaka kula embe.
 
Ene kweseni , ene kweseni 😂😂😂
Huyu nae anataka wajumbe wachague embe dodo lililoiva.

Ila ccm sijui wanawachukuliaje waTz mpaka kuweka public hata vitu vya aibu.
 
Back
Top Bottom