Hivi ndio Wagombea wa CCM wanaomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Afrika Mashariki?

CCM kila kitu kinawezekana unaweza kushangaa huyo dada akapata "ushindi wa kishindo".

Maana wizi wa kura sio kwenye uchaguzi mkuu hata chaguzi zao wanaibiana.
 
Ila kiukweli hii ndo aina ya vijana tulio nao kwenye jamii, Mtu uko na uwezo mdogo na unajua una malengo ya kua kiongozi, hata kijibiidisha kutafuta skills & maarifa hutaki.

Unabakia na uchawa, uchawi na kujipendekeza tu. Shame on them
 
Wenye sifa hawapewi ila wanapewa wenye connection.

Kuna Dada ni Dr alikuwa wa mwisho kufanyiwa vetting naona kidogo yupo vizuri ila alipata kura chache sana mchujo wa awali nadhani alipata kura 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…