Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

Watu wengi maarufu waliokuzidi akili, pesa, umaarufu, connection, dhambi n.k wapo huko.

Ila wewe kuwepo hapa kwenye kamtandao kavilaza mnapiga umbea tena kanajulikana Dar na Mwanza unajiona mjanja
 
Jamani KERO yangu ni kwamba account nyingi za Facebook zinadukuliwa na kutumwa picha za utupu kwann hatua Kali hazichukuliwi?
 
Facebook kule unapoclik malnk ya hovyo ndio unapoibiwa acc yako kirahisi na kutuma picha zisizo na maadili kabisa
 
Bado tu mkogo Facebook? Mnafanyaje? Mnajipost na kulaikiana? Au?
Kama wewe ni mtu wa "make money online" lazima utumie
1. Facebook
2. X
3. Youtube (wanaopenda kujifunza ujuzi mpya)
Mitandao ya kuwasiliana ni WhatsApp na Telegram.
Mtu anajisifia yupo Jamii Forum kwa kusoma story za udaku tu sijui amekula tunda kimasihara halafu anajiona walioko Facebook washamba.
Mtu anatumia internet huu ni mwaka 15 lakini hajawahi kujifunza ujuzi wowote ule kwenye internet zaidi ya kuangalia video za udaku, kubishana Jamii Forum na kusoma hadithi za mapenzi 😀😀😀
 
Back
Top Bottom