Kama wewe ni mtu wa "make money online" lazima utumie
1. Facebook
2. X
3. Youtube (wanaopenda kujifunza ujuzi mpya)
Mitandao ya kuwasiliana ni WhatsApp na Telegram.
Mtu anajisifia yupo Jamii Forum kwa kusoma story za udaku tu sijui amekula tunda kimasihara halafu anajiona walioko Facebook washamba.
Mtu anatumia internet huu ni mwaka 15 lakini hajawahi kujifunza ujuzi wowote ule kwenye internet zaidi ya kuangalia video za udaku, kubishana Jamii Forum na kusoma hadithi za mapenzi πππ