Naomba uni chambulie kichumi zaidi hapa ? Sitaki porojo.Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Juzi rais Samia akiongea kwa msisitizo alisema "nchi yetu uchumi wake haukuteteleka sana kama majirani zetu kutokana na sera na maamuzi mazuri ya hayati Magufuli kutokufungan nchi kipindi cha COVID 19 , uchumi wetu upo imara kuzidi majirani zetu na Afrika"
Hoja yako imekaa kizushi na kihiyo,kwa mujibu wa bank ya dunia uchumi wa dunia umeshuka kutokana na janga la COVID 19,vita vya Ukraine na mabadiliko ya tabia nchi.
Jana rais Biden akihutubia maelefu ya watu mjini Warsaw Poland amesema vita ya Ukraine imeleta tatizo kubwa la kiuchumi duniani hasa Afrika .
Mleta mada utakuwa na mimba kubwa ya Magufuli inakutesa tulia uzae tu
USSR
Wale Malaya wenzako wa bongo movi walipokosa pesa za mapapa za kuhongwa wakalia vyuma kwani huwa wanakazi gani nyingine hapa mjini zaidi ya kuuza kAliimarisha from which ground Mzee? Uchumi uliporomoka unasema aliimarisha? Ni awamu ya nani ulisikia vyuma kukaza?
Ni awamu ya nani ulisikia sekta ya real estate Kuporomoka? Hukuona watu wamekimbia majengo huko Mjini?
Hukuona maelfu ya maduka yamefungwa? Tupeni takwimu zinazoonesha uchumi kuimarika.
Mwisho chini ya miaka 2 ya Rais Samia tayari Kuna signs nzuri sana kwenye uchumi kama zifuatazo [emoji116]View attachment 2526538View attachment 2526539View attachment 2526541View attachment 2526542View attachment 2526543
Nilijua hakuna kichwa litasimama na mimi hapa zaidi ya tuhoja kama hutuKipindi fulani Magufuli alimtaka waziri wake mmoja awe akivuta bangi kwa siri kusudi awe mkali katika utendaji kazi wake, kwa majibu yako muflisi mimi nakuona wewe USSR unavuta kwa uwazi ili kumuenzi kipenzi chako Pombe.
Haha[emoji1787]Hili ni swali au jibu? Awamu ya Rais Samia View attachment 2526532View attachment 2526533View attachment 2526534
Ngoja tuone!Samia hana hata miaka miwili[emoji38],vuta subra,
Jpm aliimarisha uchumi sana[emoji2377]
Ngojea tumsubirie aje atuambia lakini kwa wakati huu na wewe shusha nondo kidogo.Akija akaniambia mpaka sasa Rais aliyepo amefanya nini la mama kama legacy nakuja kumjibu tena , namsubilia
USSR
Hajui lolote kuhusu uchumi unamuuliza swali zito sana na upeo wake wa la Saba c atajibu niniIweje aliharibu uchumi halafu nchi ikaenda uchumi wa kati. Mtoa mada hebu tueleweshevizuri
Magufuli angekusanya hizo pesa angeshindwa kuajiri? Miradi aliyoiqnzisha ingekuwa inasuasua?Wewe unataka kujua kuwa Magufuli alikusanya hadi Trilioni 2 kwa mwezi kutoka billion 800 za Kikwete
Unataka kujua alijenga SGR , kununua ndege 11,kujenga stand ya mbezi Louis,Dodoma , Chato, kupanua uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere , kujenga Chato airport,kupanua kwanza airport,njia nne kibaha hadi kimara,kuhamishai serkali Dodoma,kujenga meli ziwa Victoria na nyasa, kuhakikisha elimu Bure, kujenga barabara za lami dar hasa kinondoni, kupambana na rushwa ,madawa ya kulevya , uhujumu uchumi, wafanyakazi hewa na vyeti fake na kununua majengo ya kibalozi na kuanzisha balozi mpya au kubuni vitambulisho vya machinga
Mimi nitakufunza kilaza wewe usiyemjua kuchambua ilaza za vyama
Wewe unataka nini nije nikujibu
USSR
Hakuna mkweli akija mwingine watamponda hata wanaayemsifu leoHabari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
👇
Kama Kuna kosa ccm waliwahi kulifanya kwenye nchi hii, ni kumpa Urais John Pombe Joseph Magufuri... Yaani walifanya kosa kubwa na la kiufundi ..Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
[emoji116]
Kudhibiti Mfumuko wa bei?Hili ni swali au jibu? Awamu ya Rais Samia View attachment 2526532View attachment 2526533View attachment 2526534
Aibu sana yaani !Habari zenu wanabodi..
Ushahidi wa Takwimu umebainisha jinsi Serikali ya Magufuli iliharibu Uchumi wa Tanzania Kwa kiwango Kikubwa.
Kwa mujibu wa jarida la Tanzania Business Insight likinukuu taarifa za Benki Kuu na Ofisi ya Taifa ya Takwimu limefanya ulinganisho wa ukuaji wa Uchumi Kwa awamu ya kwanza ya Rais Mkapa,Kikwete na Magufuli.
Takwimu zinabainisha kwamba licha ya GDP kuongezeka ila Kasi ya uchumi ilipungua kutoka wastani wa 74% awamu ya kwanza ya Kikwete Hadi Asilimia 32% awamu ya kwanza ya Magufuli..
Aidha Uchambuzi pia unaonesha awamu ya kwanza ya Marehemu Mkapa,Alikuza uchumi Kwa Asilimia 154% na ni katika awamu ya Mkapa ndipo Uchumi wa Tanzania ulikuwa Mkubwa kuliko wa Kenya.
My Take
Ukweli ni kwamba licha ya Majigambo,Magufuli alifeli sana kwenye uchumi na ndio chanzo Cha kuanzisha udikteta usio na msingi ikiwemo kutunga Sheria za kuzuia watu ku challenge takwimu za uongo na za kupika za Serikali yake. Na kawaida ya Uchumi,namba Huwa hazidanganyi.
Wafuasi wa Mwendazake njooni mtoe majibu Kwa nini mlihatibu Uchumi? Mlikuwa mnafanya kazi gani hasa?
Swali lililosalia ni Je awamu ya 6 itatuvusha? Ni suala la kusubiria.
[emoji116]
Mnateseka sana,Habari zenu wanabodi..

Pale juu nimechambua asante kwa nyongeza maana hiyo miradi yote unayoisema ilianzishwa na Magufuli tena kwa kupingwa kila kona na hawa vibarakaNgojea tumsubirie aje atuambia lakini kwa wakati huu na wewe shusha nondo kidogo.
Binafsi nimeitembea nchi hii hivi karibuni nimepita Busisi kazi inaendelea vizuri sana walishamaliza kusimika nguzo ziwani sasa hivi wanapandisha ile mikeka** ya kupitia kitaalamu sijui wanaiitaje so Mama amepambana kwenye huu mradi.
Pia nimebahatika kupita kutoka Dar hadi Mwanza na kisha Kigoma Dar nimeona namna ujenzi wa barabara ulivyopamba moto sio Uvinza wala Kasulu Kibondo ni kazi kwenda mbele hapa Mama anapambana sana.
Pia nikiwa safarini nimeona SGR bado watu wanapambana sana na kazi hii maana yake Mama hajalala na nilimsikia ana pesa ya lot 6 mpaka Kigoma aiseee ametisha sana.
Hapo Rufiji nilimuona kwenye taarifa ya habari amezindua bwawa la Nyerere kujazwa maji means alipambana sana kulikamilisha.
Nimeshuhudia matangazo mengi ya ajira kitu ambacho kilikuwa nadra sana huu ni ushahidi mama anataka kuinvest in human capital hapa ametisha sana.
Ujenzi wa madarasa ya kisasa nchi nzima aisee ametishaa.
Hivi karibuni nimesikia kibali cha ujenzi wa bomba la mafuta kimetolewa na ujenzi ni wazi sasa utapamba moto hili ni jambo jema hasa ukizingatia tumewekewa mizengwe sana juu ya hili bomba huko nje lakini mambo yanaenda inaonekana Mama ameweza kucheza karata ya diplomasia vizuri hapo.
Uhuru wa vyombo vya habari na mikutano ya kisiasa,kesi za kisiasa na kurudi nyumbani kwa baadhi ya wenzetu walioenda kuomba hifadhi huko nje ni wazi pana nia njema katika kujenga ustawi wa nchi yetu.
Sitayamaliza yote ila haya yote yataleta transformation kubwa sana.
Ndio maana nikamwambia wewe ni kiazi umeanzisha hoja inayo kuzidi kimo sana hujui lolote ,unaleta ushahidi wa Twita motherfuc ,mimi najadili ishu za world bank na IMF wewe unaleta twitter za channel 5 mapuuzi weweMagufuli angekusanya hizo pesa angeshindwa kuajiri? Miradi aliyoiqnzisha ingekuwa inasuasua?
Ndio maana nakwambia wewe ni useless umebeba kichwa kama mzigo, Waziri wa Fedha ambae ni VP wa Sasa anasema kabisa mapato Kwa mwezi aliacha 1.2 Til na Sasa ndio Yako 2.0 Tilioni wewe unaleta hadithi za kutunga?
Huyu anakaa kwa mme wa mamake mdogo hata hajui bei ya unga imepanda, mchele, sukari,umeme,maji ,mafuta ,hajui kuwa kipindi cha Magufuli walitaka kupandisha Magufuli akaibuka na kuzuia na kutumbua hadi anaondoka hakuna aliyejaribu kupandisha beiKudhibiti Mfumuko wa bei?
Yaani mataahira mmekaa mnasubiri muambiwe na bank ya Dunia, nyie hamuoni? Yaani mmekaa mnasubiri watu walioko Washington ndio wawaambie kwamba rais amedhibiti mfumuko wa bei?
Kwa hiyo maharage sasa yanauzwa shilingi 500 na mchele shilingi 600?
Hii nchi bado imejaa mataahira. Mwalimu alipambana na ujinga toka 1960s hadi leo majinga bado yapo.
Ndio shida, mtu anakaa na mume wa dada yake, anakula bure, anaoga bure, bando ananunuliwa na hawara yake hawezi kujua kama Tanzania kuna mfumuko wa bei haijawahi kutokea. Toka lini Tanzania kilo ya maharage ikawa 5000?Huyu anakaa kwa mme wa mamake mdogo hata hajui bei ya unga imepanda, mchele, sukari,umeme,maji ,mafuta ,hajui kuwa kipindi cha Magufuli walitaka kupandisha Magufuli akaibuka na kuzuia na kutumbua hadi anaondoka hakuna aliyejaribu kupandisha bei
USSR
Umeanza kutukana,hii ni Twitter? Mbishie na VP Mpango basi 👇Ndio maana nikamwambia wewe ni kiazi umeanzisha hoja inayo kuzidi kimo sana hujui lolote ,unaleta ushahidi wa Twita motherfuc ,mimi najadili ishu za world bank na IMF wewe unaleta twitter za channel 5 mapuuzi wewe
USSR