Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

Huyu anakaa kwa mme wa mamake mdogo hata hajui bei ya unga imepanda, mchele, sukari,umeme,maji ,mafuta ,hajui kuwa kipindi cha Magufuli walitaka kupandisha Magufuli akaibuka na kuzuia na kutumbua hadi anaondoka hakuna aliyejaribu kupandisha bei

USSR

Bei kupanda ni forces za demand and supply, nafikiri unafahamu hivyo vitu kama production cost imekuwa juu don't expect goods price to remain the same, hata hivyo tunashukuru sana subsidy ya 100 billion per month sio mchezo poti, na pia hatua za makusudi zimeanza kuchukuliwa tutegemee mabadiliko makubwa hasa kwenye nafaka mahindi na mchele.
 
Kudhibiti Mfumuko wa bei?

Yaani mataahira mmekaa mnasubiri muambiwe na bank ya Dunia, nyie hamuoni? Yaani mmekaa mnasubiri watu walioko Washington ndio wawaambie kwamba rais amedhibiti mfumuko wa bei?

Kwa hiyo maharage sasa yanauzwa shilingi 500 na mchele shilingi 600?

Hii nchi bado imejaa mataahira. Mwalimu alipambana na ujinga toka 1960s hadi leo majinga bado yapo.
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
 
Ndio shida, mtu anakaa na mume wa dada yake, anakula bure, anaoga bure, bando ananunuliwa na hawara yake hawezi kujua kama Tanzania kuna mfumuko wa bei haijawahi kutokea. Toka lini Tanzania kilo ya maharage ikawa 5000?
Ndio rais mwenyewe anakubali kuwa mfumuko ni mkubwa hata wapinzani kwenye mikutano yao wanakubali ila anatokea chizi mmoja ati anaona sawa

USSR
 
Kama Kuna kosa ccm waliwahi kulifanya kwenye nchi hii, ni kumpa Urais John Pombe Joseph Magufuri... Yaani walifanya kosa kubwa na la kiufundi ..
Magufuri hakuwa mwana dipromasia ...hakuwa na uelewa wa masuala ya uchumi .. ila alikuwa mahili kwenye propaganda tu .. pia alijaaliwa roho ya kwann , kila mwenye uchumi mzr yy alimchukia na kumuona mwizi .. na ndo maana aliiacha nchi ikiwa na uchumi kwa 4.5 ya ukuaji wa uchumi... Kibaya zaidi hata wapambe wake huwa hawajui alijenga km ngp za barabara .. yaani kifupi aliivulunga nchi kila mahali
Huyu mtu Kila Wizara aliyoenda aliharibu na kuleta hasara,angalia achofanya jengo la Tanesco harafu hata kiflyover hakikufika kule.

Wizara ya mifugo aliharibu,Wizara ya ujenzi ana kashfa ya wizi,kupendelea kwao nk
 
Bei kupanda ni forces za demand and forces, nafikiri unafahamu hivyo vitu kama production process imekuwa juu don't expect goods price to remain the same, hata hivyo tunashukuru sana subsidy ya 100 billion per month sio mchezo poti, na pia hatua za makusudi zimeanza kuchukuliwa tutegemee mabadiliko makubwa hasa kwenye nafaka mahindi na mchele.
Nani alileta sera ya kufungua nchi ni Magufuli au Samia

USSR
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
Tafta mataahira wenzio mjadiliane mimi sio level yako.
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu [emoji16][emoji16]

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
Tulete kwani tukikutuma uanzishe uzi kama imekuzidi chomoa

USSR
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
Daah ila wewe ni kilaza na wanaobishana na wewe nao wanapata shida sana
 
Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.

Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
 
Daah ila wewe ni kilaza na wanaobishana na wewe nao wanapata shida sana
Leta takwimu zenu zinazoonesha kupaa Kwa uchumi,kama huna kojoa ukalale ndio maana unawaza kubishana badala ya kujenga hoja
 
Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.

Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
Kwahiyo hii mikopo tunaambiwa ilikopwa ili tuendeleze hizi projects kumbe wana tu set Mkuu etii? Kama hatukukopa tulitumia fedha zetu za ndani za makusanyo yetu kwanini tunaambiwa tulikuwa tuna commercial loans huko abroad?
 
Leta takwimu zenu zinazoonesha kupaa Kwa uchumi,kama huna kojoa ukalale ndio maana unawaza kubishana badala ya kujenga hoja
Siwez kubishana na kilaza.aliyofanya Jpm yanaonekana kwa macho haina haja ya takwimu.ni sawa leo mtu wa mpira aombe takwimu za messi na wakati aliyoyafanya yanajulikana kwa hiyo kaa na chuki zako fool wewe
 
Sasa tungeendelea kuishi kama Zinjanthropus hata lini Mkuu, Tanzania ina ihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania.

Fuatilia FDI zilivyomiminika TIC pale ndo utaelewa.
Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje

USSR
 
Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje

USSR
Hiki ndo kitu watu wanawaponda mnaoitwa wazee wa legacy, mlitaka hawa watu wawe maskini hata lini? Sio kila wakati government ifanye intervention tuu. Kwani ni ajabu au ni mara ya kwanza nchi kuagiza bidhaa nje? Pendeni kuona mawazo mbadala sio kulazimisha kupita bila kupingwa tuu kwa kuogopa challenges.
 
Wewe unataka kujua kuwa Magufuli alikusanya hadi Trilioni 2 kwa mwezi kutoka billion 800 za Kikwete

Unataka kujua alijenga SGR , kununua ndege 11,kujenga stand ya mbezi Louis,Dodoma , Chato, kupanua uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere , kujenga Chato airport,kupanua kwanza airport,njia nne kibaha hadi kimara,kuhamishai serkali Dodoma,kujenga meli ziwa Victoria na nyasa, kuhakikisha elimu Bure, kujenga barabara za lami dar hasa kinondoni, kupambana na rushwa ,madawa ya kulevya , uhujumu uchumi, wafanyakazi hewa na vyeti fake na kununua majengo ya kibalozi na kuanzisha balozi mpya au kubuni vitambulisho vya machinga

Mimi nitakufunza kilaza wewe usiyemjua kuchambua ilaza za vyama

Wewe unataka nini nije nikujibu

USSR
Shida ya nchi hii Kuna watu wanajifanya yaani wao ndiyo walikuwepo wakati JPM anatawala na sisi wengine hatukuwepo.Mtu mzima analeta mada ya kitoto kana kwamba ana waadithia wajukuu zake ambao hawakuwepo enzi za utawala wa awamu ya tano!
 
Ujibiwe nini mjinga tu wala hujui mambo ya uchumi. Kwa kudhani unajua kuliko wataalam wa benki ya dunia waliyoitangaza tz kufikia gdp per capita usd 1086 na kua nchi ya uchumi wa kati unaonesha ujinga wako.
Eti growth rate 74%, 32% . Uliwaha kuona wapi annual growth rate za hivyo mjinga wewe.
Wakati wa jk tulikua na growth rate za 7.4% and then jpm akaanza ukuuaji mzuri kama huo kabla corona haijaingia na kuvuruga uchumi wa nchi nyingi. Nchi nyingi dunia zikawa na growth rate hazifiki hata 1% lakini tz kutokana na jpm alivyo handle corona uchumi wetu ukawa unakua kwa asilimia 3.2. jirani zetu kenya na uganga nadhani growth rate zilikua negative.
Mtahangaika kum demornise jpm hadi mnaonyesha ujinga wenu. Mtu uchumi hujui unajidai kuchambua kitu gani.
Anajifanya yeye alikuwepo na wengine tulikuwa hatujazaliwa![emoji1787][emoji1787]
 
Bei kupanda ni forces za demand and supply, nafikiri unafahamu hivyo vitu kama production cost imekuwa juu don't expect goods price to remain the same, hata hivyo tunashukuru sana subsidy ya 100 billion per month sio mchezo poti, na pia hatua za makusudi zimeanza kuchukuliwa tutegemee mabadiliko makubwa hasa kwenye nafaka mahindi na mchele.
Mada ni GDP porojo za huyo Jamaa kuhusu bei ni njia ya kutafuta pa kujificha..

Mwendazake aliharibu uchumi,full stop
 
Back
Top Bottom