Hivi ndivyo Hayati Magufuli aliharibu Uchumi wa Tanzania. Takwimu huwa hazidanganyi

Huyu anakaa kwa mme wa mamake mdogo hata hajui bei ya unga imepanda, mchele, sukari,umeme,maji ,mafuta ,hajui kuwa kipindi cha Magufuli walitaka kupandisha Magufuli akaibuka na kuzuia na kutumbua hadi anaondoka hakuna aliyejaribu kupandisha bei

USSR

Bei kupanda ni forces za demand and supply, nafikiri unafahamu hivyo vitu kama production cost imekuwa juu don't expect goods price to remain the same, hata hivyo tunashukuru sana subsidy ya 100 billion per month sio mchezo poti, na pia hatua za makusudi zimeanza kuchukuliwa tutegemee mabadiliko makubwa hasa kwenye nafaka mahindi na mchele.
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
 
Ndio shida, mtu anakaa na mume wa dada yake, anakula bure, anaoga bure, bando ananunuliwa na hawara yake hawezi kujua kama Tanzania kuna mfumuko wa bei haijawahi kutokea. Toka lini Tanzania kilo ya maharage ikawa 5000?
Ndio rais mwenyewe anakubali kuwa mfumuko ni mkubwa hata wapinzani kwenye mikutano yao wanakubali ila anatokea chizi mmoja ati anaona sawa

USSR
 
Huyu mtu Kila Wizara aliyoenda aliharibu na kuleta hasara,angalia achofanya jengo la Tanesco harafu hata kiflyover hakikufika kule.

Wizara ya mifugo aliharibu,Wizara ya ujenzi ana kashfa ya wizi,kupendelea kwao nk
 
Nani alileta sera ya kufungua nchi ni Magufuli au Samia

USSR
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
Tafta mataahira wenzio mjadiliane mimi sio level yako.
 
Tulete kwani tukikutuma uanzishe uzi kama imekuzidi chomoa

USSR
 
Tuambieni na tatwimu zenu maana hizo za BoT, NBS hamzitaki au WB hamzitaki,haya leta za kwenu 😁😁

Kwa hiyo uchumi ni kuzibiti tuu mfumuko wa bei? Ukidhabiti mfumuko wa bei harafu uchumi unakufa au huongezi kipato inakusaidia nini wewe?
Daah ila wewe ni kilaza na wanaobishana na wewe nao wanapata shida sana
 
Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.

Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
 
Daah ila wewe ni kilaza na wanaobishana na wewe nao wanapata shida sana
Leta takwimu zenu zinazoonesha kupaa Kwa uchumi,kama huna kojoa ukalale ndio maana unawaza kubishana badala ya kujenga hoja
 
Fedha za wizi ziliondolewa kwenye mfumo halali.

Badala ya kuingia kwenye mifuko ya wezi zikaelekezwa kwenye miradi ambayo tunaiona na kunufaika nayo sasa.
Kwahiyo hii mikopo tunaambiwa ilikopwa ili tuendeleze hizi projects kumbe wana tu set Mkuu etii? Kama hatukukopa tulitumia fedha zetu za ndani za makusanyo yetu kwanini tunaambiwa tulikuwa tuna commercial loans huko abroad?
 
Leta takwimu zenu zinazoonesha kupaa Kwa uchumi,kama huna kojoa ukalale ndio maana unawaza kubishana badala ya kujenga hoja
Siwez kubishana na kilaza.aliyofanya Jpm yanaonekana kwa macho haina haja ya takwimu.ni sawa leo mtu wa mpira aombe takwimu za messi na wakati aliyoyafanya yanajulikana kwa hiyo kaa na chuki zako fool wewe
 
Sasa tungeendelea kuishi kama Zinjanthropus hata lini Mkuu, Tanzania ina ihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania.

Fuatilia FDI zilivyomiminika TIC pale ndo utaelewa.
Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje

USSR
 
Maskini jamiiforumu imevamiwa na vichaa mnaona fungua nchi halafu unatoa vibari vya kununua mahindi mliuza nje

USSR
Hiki ndo kitu watu wanawaponda mnaoitwa wazee wa legacy, mlitaka hawa watu wawe maskini hata lini? Sio kila wakati government ifanye intervention tuu. Kwani ni ajabu au ni mara ya kwanza nchi kuagiza bidhaa nje? Pendeni kuona mawazo mbadala sio kulazimisha kupita bila kupingwa tuu kwa kuogopa challenges.
 
Shida ya nchi hii Kuna watu wanajifanya yaani wao ndiyo walikuwepo wakati JPM anatawala na sisi wengine hatukuwepo.Mtu mzima analeta mada ya kitoto kana kwamba ana waadithia wajukuu zake ambao hawakuwepo enzi za utawala wa awamu ya tano!
 
Anajifanya yeye alikuwepo na wengine tulikuwa hatujazaliwa![emoji1787][emoji1787]
 
Mada ni GDP porojo za huyo Jamaa kuhusu bei ni njia ya kutafuta pa kujificha..

Mwendazake aliharibu uchumi,full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…