Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

  • Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
  • Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
  • Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
  • Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
  • Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
  • Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
  • Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
  • Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
  • Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
  • Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
  • Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
  • Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
Hii ni imani tu,

Imani inaweza kuwa kweli au si kweli.

Tatzo linakuja kwenye ukweli, ukweli cku zote unaendana na ushahidi.

Je taarifa hii ni kweli au sio kweli?
 
  • Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
  • Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
  • Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
  • Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
  • Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
  • Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
  • Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
  • Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
  • Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
  • Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
  • Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
  • Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)

Sisi tulio uku palestina hii haituhusu ukisikia rocket tu ujue umepona usiposikia ujue safari ya mbinguni
 
Hayo yote ndiyo watanzania wengi wanayapitia mpaka Sasa hv
 
Nilishakuwa katika comma, what happen is so so badly ever, unakuwa katika situation ya kutisha sana, kwenye macho unaona blueish, kibaya kwenye masikio unasikia kila kitu kinachoongelewa, unasikia vilio na kelele, lakini huwezi kufanya lolote, unawasikia ndugu zako na jamaa zako lakini huwezi kusogeza kiungo chochote, kibaya uwezo wa kusikia huendelea kupungua kidogo kidogo, so worryful let me endup here!
nimewahi kupata hypovolemic shock baada ya kuvuja damu nyingi sana, enzi hizo 2003, tarehe 18 siku ya ijumaa saa kumi jioni, uliyoyaeleza hapa niliyapitia, kuna watu walikua wakilia pembeni kwenye kitanda kwamba nimekufa bado yanki na mambo mengi, nilikua nawaona hasa wale walio kuwa wameniface direct, nachokumbuka ilifikia sehemu nataman kumuaga rafiki yangu aliyekua kando ya kitanda changu lakini sauti ilikua haitoki na pumzi kukata, nilikuja kushtuka kesho yake nina running bilateral IV fluids, nishapigwa 2 units za blood,
ni kitu ambacho sitasahau, maana ilinijengea picha ya namna kifo kinavyokua, nikikumbuka hali ile naogopa sana,
 
Nawaza tu kwamba nitakuwa nimekufa hakika au nitafukiwa nikiwa na bado na hisia nisiweze kujitetea
 
  • Nguvu za mwili zitaanza kukuishia,
  • Utasikia kama usingizi mzito unakuja,
  • Mapigo ya moyo yatapungua kasi,
  • Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia.
  • Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo.
  • Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea.
  • Utawaza vitu ambavyo ulipaswa/hukupaswa kufanya (mf. kama kutohudhuria mazishi ya mama ako, au kutomhudumia mzazi ipasavyo)
  • Utawaza mipango Yako yote uliyokuwa nayo ya future
  • Utawaza ukiondoka utaacha kumbukumbu gani? Na je ni % ngapi ya potential/uwezo wako umeitumia duniani?
  • Utawaza je vile vitu ulivyoviona vya thamani duniani (mf. pombe, wanawake, Simba na yanga)vina thamani kama ulivyovipa?
  • Utawaza na vile vitu ulivyovidharau na kuona havina thamani kama ulivyodhania (mf. mahusiano na ndugu/jamaa, dini, kufurahia maisha nk.)
  • Utawaza sana yote haya na utakosa jibu, kisha utaona kuwa vyote vizuri na vibaya ni ubatili mtupu na havina maana yeyote.

- Utapata hisia ya kukata tamaa ya kupata majibu kuhusu haya kipindi mwili wako unazidi kuishiwa nguvu,Mapigo ya moyo yanazidi kupunguza,pumzi inakuwa ya tabu na hali ya usingizi inaongezeka.

Hapo ndipo utakata tamaa na kukubali matokeo, kisha utakubali kuachia pumzi Yako ya mwisho na ndipo utakufa.

(Hizi process zinaweza kuchukua anywhere from masaa machache hadi sekunde kadhaa kulingana na aina ya kifo utakachokufa)
Wanaokufa kWa shoti za umeme au ajali za magari nao wanapitia haya?
 
Ushawahi kufa?

Miaka flan naripoti uboyzn ile mikwara ya hapa na pale nliropoka ujinga Kuna Mkurya alinipiga buti ya Karne ya 17 nlipigiza vbya nkazima mpaka nikahis baadhi ya dalili ulizotaja lkn sikufa

Pia nliwahi pata ajali nkahis hvo lkn sikufa
 
Back
Top Bottom