Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

kuna hormone itaachiliwa kwa wingi kwenye ubongo wako itakayokufanya upate furaha ya ajabu(euphoria)

ndo maana watu waliopitia near death experiences wanasimulia kuona mwanga flani, au kuingia kwenye uwepo fulani
Raha na wakati watu huwa wanarusha rusha miguu?
 
Back
Top Bottom