Hivi ndivyo Jimmy Carter alivyobaki. Ndiyo tujue sasa dunia haina urafiki

hata usipokuwa na pesa wala madaraka utazeeka tu, tena afadhali huyo anaweza hata kuweka muuguzi wa kumuhudumia 24/7, kuna wengine wanaozea ndani kwa kukosa hata mtu wa kuwatoa nje kuota jua kisa umaskini.
Unadhani Jimmy Carter ana tamaa ya pesa tena pale alipo.Au matumizi ya pesa alizokuwa nazo ana maamuzi nazo tena.
 
Yote Poa

Mhubiri 12:8
Mhubiri asema, Ubatili mtupu; mambo yote ni ubatili!

Mhubiri 3:1-8
Kila kitu kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake: Wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa; wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa; wakati wa kuua na wakati wa kuponya; wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga; wakati wa kulia na wakati wa kucheka; wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza; wakati wa kutupa mawe na wakati wa kuyakusanya mawe pamoja; wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha kukumbatia; wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza; wakati wa kuhifadhi na wakati wa kutupa; wakati wa kurarua na wakati wa kushona; wakati wa kukaa kimya na wakati wa kuongea; wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia; wakati wa vita na wakati wa amani.
 
Ni mahubiri ya Mungu au ya nani hayo.
 
Ashaishi maisha yake yote Lakin. Kuna shida gan hapo
 
Unadhani Jimmy Carter ana tamaa ya pesa tena pale alipo.Au matumizi ya pesa alizokuwa nazo ana maamuzi nazo tena.
hv mkuu point yako ni nn hasa, kuna sehemu nimesema jimmy ana tamaa na pesa zake kwa sasa? Au unatakaje wewe, kuwa tusitafute madarara kwa sababu tuliowahudumia kuna siku hawatakuwa na time na sisi au tusitafute hela maana kuna siku hatutakuwa na maamuzi nazo au hazitatusaidia? Kwa hyo tukizaliwa tukae tu kusubiria kufa? Dunia ingekuwa ya namna gani sasa?
 
Uzi mzuri ila mwishoni umetia majungu ya kimaskini. Andika uzi bila kutanguliza hisia zako za kimaskini za kuwachukia waliokuzidi.
 
Unadhani Jimmy Carter ana tamaa ya pesa tena pale alipo.Au matumizi ya pesa alizokuwa nazo ana maamuzi nazo tena.
Ukishashiba vizuri utatamani chakula tena? Huyo pesa zipo tayari, umri umeenda, pesa si hitaji lake tena sababu Kashiba.

Ila kama huna pesa na una huo umri pesa bado ni hitaji lako sababu wanaokuhudumia wataziitaji ili uipate hiyo huduma.
 
Sijui kiwango chako cha eliminate
Nikujuze tu unapoendelea kuzeeka selizako za kukusadia kuondokana na maradhi zinapungua..nkkujuze ukutakiwa hata kumweka hapa huyu mzee maana umriwake hutooboi

Sio issue ya pesa ama raisi n issue ya umri vs afyaa...ukizeeka maradhi ya ajabu ajabu yanakjjia mda wowote saa yoyote na hivi unamwona n kutokana na anatunzwa else ungekuwa wewe tayari unanukia ununiooo
 
Mkewe alishafariki mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…