Hivi ndivyo kesi ya Yanga itakavyokuwa huko CAS

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
CAS ; CAF inasisitiza mchezo wa mpira uchezwe kwa gharama yoyote, Kwanini mmeahirisha mchezo halali wa Ligi? Kulikuwa na hali mbaya ya hewa?

TPLB; Hapana

CAS; Kifo labda cha mchezaji, kiongozi yeyote mkubwa?

TPLB; Hapana

CAS; Tishio la ugaidi, vita na uthibitisho kutoka mamlaka husika?

TPLB; Hapana

CAS; kwanini mmeahirisha mchezo halali wa ligi?

TPLB; Makomandoo wa Yanga wamezuia 5imba wasifanye mazoezi.

CAS; (wanacheka kwa nguvu, kisha wanakaa kimya)

CAS; Kwa mujibu wa kanuni zenu, kuna kipengele kinasema timu pinzani ikizuiwa kufanya mazoezi mchezo uahirishwe?

TPLB; Kulikuwa na tishio la usalama na dalili za rushwa

CAS; Tunaomba report kutoka mamlaka husika ikionyesha kulikuwa na mashabiki wenye mabomu, visu, mapanga au tishio la ugaidi kutoka idara za intelijensia au report kutoka TAKUKURU/ Police makao makuu/ JWTZ

TPLB; hatuna, ila mabaunsa jamani wametuponza! Tunaomba mtusamehe tuna familia zinatutegemea tukijiuzulu tutakula nini? Mguto atawaletea madafu ya Unguja, Mtusamehe

CAS; (wanacheka kidogo); Ok, Karia, Ukiwa kama rais wa TFF, Kwanini umeruhusu haya?

KARIA; sikutegemea tutafika huku jamani! Najuta kuwabeba wasiobebeka! Naomba mnisamehe nina familia inanitegemea!

CAS; Na nyie kwanini muandike barua ya kugomea mchezo halali wa Ligi na kuwalazimisha na kuwapangia bodi maamuzi?

5imba; Tulizuiwa kufanya mazoezi na makomandoo.Tulikuwa na mbuzi kwenye basi.

CAS; (wanaangua kicheko mara ya pili)

CAS; Kwahiyo mkizuiwa kufanya mazoezi, ndiyo muwapangie bodi maamuzi ya kuchukua na kususia mchezo halali wa Ligi na kugoma kuleta timu uwanjani?

5imba; (kimya, akiangalia chini) Lakini mkuu sisi hatuhusiki kwa sababu bodi ya Ligi ndiyo waliahirisha mchezo.

CAS; Kwa hiyo bodi ya ligi ndiyo waliandika barua ya kususia mchezo?

5imba; (Kimya akiangalia chini machozi yakimlenga)

ITAENDELEA...
 
Utopolo hawaponi tena, cancer imeharibu kila kitu kwao.
Hurumaa sana, 😂😂😂😂😂
 
Yani muhuni katuma nauli alafu demu kaingia mitini hajaja geto, atalipa garama kwa njia yoyote
 
IMG_20250330_155626.JPG
 
Utopolo hawaponi tena, cancer imeharibu kila kitu kwao.
Hurumaa sana, 😂😂😂😂😂
Sikuwahi jua hilo timu lina mashabiki vilaza namna hiyo I see🤣🤣😂

Hivi wanaamini kweli huo ujinga kwamba watapewa pointi 3🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom