Hivi ndivyo kesi ya Yanga itakavyokuwa huko CAS

Hawa ndiyo wansheria wa Utopolo.
 
Kuna ticha mmoja wa skuli kwetu alikuwa mlevi sana nilikuwa nikimdharau sana msingi kayumba huko kila jioni nakutana nae kitaa kalewa chakari hadi siku moja bila kujali kuwa nilikuwa nikiibeba shule yake na alikuwa family friend, alinitoa kwenye pepa ya mock darasa la saba kwa kujisahau na kumdharau mbele ya class huku nikiwa na uhakika ningeshika nafasi za juu kimkoa na kupata zawadi kubwa na masifa maana nilikuwa kipanga mno na of course baadae nilienda sekondary special school boys , tangu siku hiyo nikatia adabu na kumheshimu my ticha hadi leo.

Si kitu kizuri kumdharau mtu uliemdhulumu maana comeback yake si kila wakati unaweza kupangua. Makolo wanaoshabikia ujinga na kusema uto wote mazuzu kasoro wawili tu wakumbuke Sheria Haina mwenyewe na Yanga tumepeleka mawakili watano kwenye kesi si mmoja kama walivyokariri hivyo mziki huu ni mnene na usiku ni mwingi hakuna utani wao waendelee kukejeli hadi tukibeba points tatu ndo watashtuka na kutuheshimu uto fc.

Makolo nawakumbusha saa mbovu pia hupatia majira!!
 
Kwenye suala la sheria simba ni next level.
 
Kwa mwenye kujua ratiba ya mechi zilizobaki za bingwa wa nnchi hii aliekimbiwa na demu wake anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…