Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

Pigia hesabu Simba anatolewa bila kuingia makundi, wale Waarabu wa Libya wana jambo lao msimu huu.
Pia endapo Yanga ataingia nusu fainal CAFCL itawalazimu simba kuwa mabingwa Cafcc ili kusalia juu ya Yanga CAF Ranking
 
Kikokotoo Cha Cuf hakijawahi kujua kama Simba ni timu mbovu hata kama amepoteana kwenye soka la Bongo
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Simbaaa tukutanee Final, na kombee tunachukuaa.
Huu mwaka, kwapaa ya CAFCC tunanyanyuaa.

Woyoooooooooo!!!
 
View attachment 3078843
Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi.

Coefficient ya mwaka husika huanzia 5, mwaka uliopita 4, mwaka juzi 3 n.k mpaka miaka mitano nyuma

Hii inamaanisha alama zilizovunwa mwaka husika zinazidishwa na coefficient ya mwaka husika na huo mwaka ukipita coefficient inakuwa 4,3,2 na 1.

Alama za Club bingwa ni tofauti na shirikisho kwa alama moja.

Hivyo Yanga akiishia nafasi ya tatu 2024/2025 anapata alama 2
Simba akiishia nafasi ya tatu 2024/2025 anapata alama 1

Haya tuje kwenye kuzidisha kwa coefficient ya miaka husika

SIMBA
2024/2025 - 1 × 5 = 5
2023/2024 - 3 × 4 = 12
2022/2023 - 3 × 3 = 9
2021/2022 - 2 × 2 = 4
2020/2021 - 3 × 1 = 3

Jumla = alama 33

YANGA
2024/2025 - 2 × 5 = 10
2023/2024 - 3 × 4 = 12
2022/2023 - 4 × 3 = 12
2021/2022 - 0 × 2 = 0
2020/2021 - 0 × 1 = 0

Jumla = alama 34

Hivyo Yanga atamzidi Simba katika CAF Ranking na huenda akaingia katika orodha ya vilabu 8 bora barani Afrika.

NB; huu sio utabiri, bali ni hesabu zitakavyokuwa endapo timu hizi zitaishia hatua ya makundi nafasi ya tatu. Huenda mambo yakawa tofauti, mwingine akasonga hatua ya mbele zaidi, au mwingine akaishia katika hatua za chini zaidi.Pia utagundua sifuri za Yanga zinazidi kupotea, Jambo ambalo ni faida kwake.
Simba ameshaenda Robo..leye hesabu Ingine
 
Kwa sasa hesabu zikoje baada ya SSC vs Costantine?
 
Back
Top Bottom