MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
- Thread starter
-
- #21
Pia endapo Yanga ataingia nusu fainal CAFCL itawalazimu simba kuwa mabingwa Cafcc ili kusalia juu ya Yanga CAF RankingPigia hesabu Simba anatolewa bila kuingia makundi, wale Waarabu wa Libya wana jambo lao msimu huu.
Kutoka nafasi ya 78 mpaka 13 ndani ya misimu miwili si jambo dogoAlafu kuna mtu ana shauri simba tukajifunze kwa utopolo 🐒🐒🤣
Hamuwezi kujifunza msha kua wazeeAlafu kuna mtu ana shauri simba tukajifunze kwa utopolo 🐒🐒🤣
UTOPOLO kwa kupenda HABARI nzuri tu kuhusu timu yenu, hamjambo!2027 yanga anaweza ingia top 5 kama ataendelea kufanya vyema, nimeelewa sana hizo hesabu
Tena wanajifariji haswaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uto bhan mnajua kujifariji
Hii huwa tunaita ramliNimesema endapo sijasema ni utabiri. Huenda Simba asiingie hata makundi Cafcc
Simba ameshaenda Robo..leye hesabu IngineView attachment 3078843
Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi.
Coefficient ya mwaka husika huanzia 5, mwaka uliopita 4, mwaka juzi 3 n.k mpaka miaka mitano nyuma
Hii inamaanisha alama zilizovunwa mwaka husika zinazidishwa na coefficient ya mwaka husika na huo mwaka ukipita coefficient inakuwa 4,3,2 na 1.
Alama za Club bingwa ni tofauti na shirikisho kwa alama moja.
Hivyo Yanga akiishia nafasi ya tatu 2024/2025 anapata alama 2
Simba akiishia nafasi ya tatu 2024/2025 anapata alama 1
Haya tuje kwenye kuzidisha kwa coefficient ya miaka husika
SIMBA
2024/2025 - 1 × 5 = 5
2023/2024 - 3 × 4 = 12
2022/2023 - 3 × 3 = 9
2021/2022 - 2 × 2 = 4
2020/2021 - 3 × 1 = 3
Jumla = alama 33
YANGA
2024/2025 - 2 × 5 = 10
2023/2024 - 3 × 4 = 12
2022/2023 - 4 × 3 = 12
2021/2022 - 0 × 2 = 0
2020/2021 - 0 × 1 = 0
Jumla = alama 34
Hivyo Yanga atamzidi Simba katika CAF Ranking na huenda akaingia katika orodha ya vilabu 8 bora barani Afrika.
NB; huu sio utabiri, bali ni hesabu zitakavyokuwa endapo timu hizi zitaishia hatua ya makundi nafasi ya tatu. Huenda mambo yakawa tofauti, mwingine akasonga hatua ya mbele zaidi, au mwingine akaishia katika hatua za chini zaidi.Pia utagundua sifuri za Yanga zinazidi kupotea, Jambo ambalo ni faida kwake.
Kwa sasa hesabu zikoje baada ya SSC vs Costantine?View attachment 3078843