Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 905
- 1,002
Na ujibu pm zetu kweli siyo ukae kimya.Simba ikifungwa niulizeni mm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ujibu pm zetu kweli siyo ukae kimya.Simba ikifungwa niulizeni mm
HahahNa ujibu pm zetu kweli siyo ukae kimya.
Azingatie code la sivyo atapuliwa vibayaSimba atapiga mtu kesho
Sawa mtabiri tambitambiMchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe!
Atayefungwa kataka mwenyewe!
Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi cha kwa hususani kuanzia saa 11.00 hadi 11:15 ni hatari tupu, Njia pekee ya simba nikuondosha mipira nyuma pasipo chenga na mbwembwe! Hatari ya kukosea kwa mabeki inaweza kuwagharimu simba!
Kipindi cha kwanza hasa dakika za mwanzo Simba potezeni muda, toeni mipira inje la sivyo mtapasuka!
Kipindi cha pili ni kipindi cha Ushindi wa SIMBA! nawashauri washambuliaji machachari wa simba waingizwe kipindi cha pili maana kuwaaingiza kipindi cha kwanza nikuwachosha tu! Kipindi cha pili kama simba itakuwa imefungwa basi itasawazisha!
Lakini kama itakuwa haijafungwa basi itakwenda kutwaa ubingwa kwa uzembe wa yanga kushindwa kuzitumia dakika za mapema!
Lango la magoli kwa timu zote mbili ni lilelile moja! Yaani kama yanga watafunga kwa lango la magharibi au mashariki basi na simba watakuja kufungia lango hilohilo!
Endapo Yanga wasipo funga basi simba lazima kesho itapata goli kupitia lango la magharibi!
Nguvu za ushindi ni sawa! Atakayefungwa kapenda mwenyewe kwa uzembe wake!
Naandika haya Leo jumamosi saa 1:06 mchana! Mechi ni kesho saa 11
Hatari sana. Hivi ameshawahi kupenda mpira huyu maana wala hajui viwanja vinakuwa na uelekeo gani?Wanachezea chumbani ambapo malango yapo mashariki na magharibi?
MtumboSawa mtabiri tambitambi
Hahaa a.k.a nabii makalaiNabii uchwara.
Kutwaa ubingwa!?
Leo yanga wa moto kipindi cha kwanza tu, kipindi cha pili watakimbizwa subili nyakati broUnaongelea yang ya msimu uliopita wewe, yangaa hii haina dakika za uchovu. Saa yoyote unabutuliwa
Na ukodoe kweli kweli utaonaNgoja tuone...
Nyakati ndo hizi na utabiri wako wa kubumbaLeo yanga wa moto kipindi cha kwanza tu, kipindi cha pili watakimbizwa subili nyakati bro
Wazee walizingua sana kwanini Walikubaliana magoli mawili tu? Inamaana kuna Rushwa hapaThis time around hakuna suluhu wala draw, game ishachezwa hiyo tena mara mbili tunaiangalia kwenye makalai yanga ana lala, kwa muda huu wazee wa kazi wako wana negotiate idadi ya mabao