Hivi ndivyo Simba na Yanga Jumapili hii hapa! Atakayefugwa kapenda mwenyewe kwa uzembe!

Sawa mtabiri tambitambi
 
Unaongelea yang ya msimu uliopita wewe, yangaa hii haina dakika za uchovu. Saa yoyote unabutuliwa
 
Unaongelea yang ya msimu uliopita wewe, yangaa hii haina dakika za uchovu. Saa yoyote unabutuliwa
Leo yanga wa moto kipindi cha kwanza tu, kipindi cha pili watakimbizwa subili nyakati bro
 
Atakayefungwa kapenda mwenyewe kwa ujinga wake
 
Yanga mlizidisha sana dharau. Bila kujua kuna kocha wa Brazil.
Mnafungwa na akina Kibu Denisi jamani.
Wapi Mzee wa kutetema?
 
This time around hakuna suluhu wala draw, game ishachezwa hiyo tena mara mbili tunaiangalia kwenye makalai yanga ana lala, kwa muda huu wazee wa kazi wako wana negotiate idadi ya mabao
Wazee walizingua sana kwanini Walikubaliana magoli mawili tu? Inamaana kuna Rushwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…