mkuu Sikonge, hiyo Kiyumbo Mayu ndo kinanihii cha kufanyia nanihii au?Wasukuma wanasema:
" Nalikulomba Mayu, Kiyumbo Mayu......."
HEHEHEHE!we meti wewe?!hahahaa! tusiweke hadharani watu wanaweza kunyimwa nanihii si unajua tarehe tayari?
jioni nitakutafuta kama upo town nikwambie over a flat bottle of Nyagi.
Wewe ni he/she? Tumwagie basi japo kiduchu. Ila nakumbuka kuna siku waifu aliniita chumbani wakati niko sebuleni naangalia TV. Nikamuuliza kulikoni nikiwa bado sebuleni. Akanambia anafanya usafi anaomba nikamsaidie kusogeza kabati. Nilipoingia chumbani nikamkuta ndo kwanza kalala kitandani kama alivozaliwa. Mzee mzima nikajua nilichoitiwa. Hata Sikurudi sebuleni kuzima TV.Kwani ina maana ni wanaume tu ndo wanaanzaga kuwataka wake zao? Mtupe na wanawake wanavyolianzisha
Wewe ni he/she? Hebu tupe maexperience yako basi. (hayo ya vitendo)nadhani wakati mwingine si lazima kutamka maneno wakati unataka, vitendo vyenyewe vinatosha kufikisha ujumbe kuwa sasa mpenzi wangu nahitaji.........................
Si nilisahau kuwa jana ni siku ya wale wenzetu?HEHEHEHE!we meti wewe?!
mbona hukunitafuta?
Kwa lugha rahisi inaitwa kifanyio!😀😀😀mkuu Sikonge, hiyo Kiyumbo Mayu ndo kinanihii cha kufanyia nanihii au?
Nimependa hiyo, mi ntaanza kuitumia
mamaa kuba.....Kiyumba mayu bana!..fasta basi.
Si nilisahau kuwa jana ni siku ya wale wenzetu?
Ikanihusu fasta.
leo mkuu!!
kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea mahala hivi, nikalala kwake.
sasa usiku nikiwa chumbani, nikasikia akimwambia mkewe
Weee, njoo basi, mbona unaangalia TV tu mda wote mi nataka kulala.
nikajua eheeee!
Hehehe! Ilikuwa siku yao eti.
Walikuwa wanaadhimisha miaka 15 ya Ubeijing. Mgeni rasmi alikuwa KIKWETE! Wanawake bila WANAUME hamna kitu!
Hey... Hebu leta kiyumba mayu hapa Charity......😀😀😀
Hapo kwenye redi no KOMENTI! naogopa uwt.
Kwenye Blue........Naomba likizo inayokuja nipeleke nikachukue tuisheni rombo,
hehehe!haya bwana.Si nilisahau kuwa jana ni siku ya wale wenzetu?
Ikanihusu fasta.
leo mkuu!!
Tuambie basi mama? wakati mko sebuleni na watoto na mzee mzuka ukampanda ghafla huwa anakuambiaje ili watoto wasistukie? Kumbuka huo unakuwa mchana baada ya lunch siku ya mapumziko.
Simu ni mateknolojia ya kisasa. Tunazungumzia ya kiasiliNjia rahisi unakwenda chumbani afu unambeep kwenye simu yake..nadhan ataelewa tu mzee anataka chakula cha usku
We ni she/he? Toa uzoefu wako hapa, haya mambo hayahitaji darasa.Du, inabidi tufungue chuo kwa ajili ya kozi hiyo tuu mamakeee!
Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:
''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
"Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"
"Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
"Mnyakyusa"....."Findu fyangu we obhokela
"Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
"Msukuma".."Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
"Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane"
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"
Natamani kujua Tanga Line, Wanyamwezi na Dengereko wanaombaje gemu kwa wake zao?
Angalizo: Hii ni kwa wanandoa tu!!
eeh ALIKUJA!anaishi sumbawanga KWA WAKWE ZAKE HUYU X-PIN😀Aroo Chris acha utani wewee jamaa.
Nimejistukia nilihisi kama jana usiku ulikuja kupiga chabo ukaniskia nikisema hivyo. Wee jamaa wewee!!