Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
-
- #341
Mabishano yenu ilikuwa Forex ni utapeli...but nimekuja kuthibitisha Forex is real but agents ndio wana upigaji.Hahahahahaha tuliongea mwanzoni tukaonekana wajinga na tuna roho mbaya..
Poleni..
Sawa kabisa, shemu asikunyime tumbua kisa kukosaNilienda kutafuta maisha mkuu. Na kama unavyojua kuna kupata na kukosa.
Mkuu usitake nikuletee post zangu humu.. Niliwahasa na lugha nzuri anazotumia huyo dogo..Mabishano yenu ilikuwa Forex ni utapeli...but nimekuja kuthibitisha Forex is real but agents ndio wana upigaji.
Umeongea point kubwa sana kiongoz :Forex haina ujanja, acheni kudanganya watu..
Forex is gambling, na duniani hakuna Insurance kwenye gambling business..
If you want to be rich, u need to sell goods or services, full stop.
Matajiri wote duniani na wote wenye maisha mazuri wana bidhaa au huduma wanaipeleka sokoni.
Forex haina tofauti yeyote na betting.
Ndio hivyo mkuu..Umeongea point kubwa sana kiongoz :
" u need to sell goods or services " to be rich au kuwa na kipaji kama footballers.. musicians n others.. but FOREX n betting.. japo n real...
Ndio hivyo mkuu..
Na kwa footballers, actors, musician and all athletes hiyo ni huduma. Hawezi kuwa tajiri duniani bila kufanya hivyo..
Ndio maana sikuzote huwezi kuta tajiri aliyetajirika kwa either kamari au bahati nasibu..
nacheka peke yangu kwasababu hata mm ilibaki kidogo niingie ila kuna jamaa akaleta uzi kuwa forex haram kwa muislam. Niliufuatilia sana huu uzi hadi nikaelewa uharam wake basi kwakuwa napenda kutii sheria bila shuruti. Nikaachana nayo na vitabu nikavitupa.Kuna kigogo mmoja wa serikali alikuwepo pale ngoja nipige kimya tu! Nae kafurushwa vikali.
Bora mjichuje hivyo hivyo tubaki tunaoijua forex.Nikipata time ntaanzisha uzi...... huyu Dogo Ontario arudishe PESA za watu..... FOREX is real sema ni kama sports betting tu... utofauti wake FOREX n kusoma soma ma vitabu.... but n same na betting.. huwez tajirika through FOREX....
Ukiachana na utapel watu kama akina Ontario.. behind FOREX kuna kitu kikubwa sana ambacho watu hawakijui thus why wanapoteza.... FOREX ingekuwa kama Ontario na watu wengine wanavyoaminisha hakuna mtu angekuwa masikini.. watu wote tungekuwa matajiri.....
Kuliko mtu afanye FOREX bora afanye sports betting TU....
Mliongea nini? Acha wa-download hela.Hahahahahaha tuliongea mwanzoni tukaonekana wajinga na tuna roho mbaya..
Poleni..
Hakuna haja ya kukumbushia mkuu..Mliongea nini? Acha wa-download hela.
Endelea ku download pesa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora mjichuje hivyo hivyo tubaki tunaoijua forex.
Forex is not for everyone
Umesahau kitu kimoja... FOREX n Betting pia... japo n real....Mkuu Humble African kwanza asante kwa uzi huu maana utazidi kufungua watu akili kujua kuwa ni FOREX SIO UTAPELI, nami nasema FOREX SIO UTAPELI.
Labda nikusahihishe jambo moja au mawili ili kuondoa utata.
MOJA ni kuhusu IB(Introducing Broker), Brokers kama wafanyabiashara wengine wanahitaji watu watakaofanya nao biashara kwahiyo walitengeneza affiliate program ambayo itamuwezesha mtu kuweza kupata faida iwapo atamuongoza mtu afikie maamuzi ya kufanya trading na Broker huyo, yaani kumtambulisha Broker!!Sasa kuna sehemu umesema kuwa IB inampa faida mtu iwapo huyo trader atapoteza pesa tu. Hii sio kweli kabisa. Mtu mwenye link ya IB anapata faida kutoka kwa broker kwa zile SPREADS wanazokatwa traders wanapofanya trading(Hapa traders watanielewa). Broker anakugawia sehemu ya ile faida ya spread pekee na sio kwamba hadi mtu apate loss. Mfano mtu akifungua trading account kwa kutumia link hii: Templer FX Trader basi atamuwezesha mtu mwenye link kupata faida kutoa kwa broker, inamaana faida ya broker itapungua kwa sababu atamgawia na mwenye IB link au ukiamua kujiunga moja kwa moja basi broker atakuwa anachukua faida yote ya SPREADS. Sasa kwa trainers wanakuwa na wanafunzi wengi na akiishawafundisha waende wapi sasa, inabidi uwatafutie broker. Sasa hapo ndipo broker wanakupa link ya faida yaani IB.
PILI, Kuna aina kadhaa za brokers, Moja ni A Broker ambaye yeye anakuwa kama middle man tu anakuunganisha trades zako na liquidators na yeye anafaida na SPREADS tu mfano ni TemplerFX: Unaweza kuwaangalia hapa Templer FX Trader, au wanaweza kutoza Commission mfano ni Tickmill: Unaweza kuwaangalia hapa Tickmill: Trade Forex & CFDs with an FCA UK regulated Forex Broker.
Sasa kuna broker wanaitwa B Broker, hawa ni wabaya kwa sababu wanafanya trade against you, 'They Book traders' Yaani wewe ukifanya SELL wao wanafanya BUY kwa pair hiyohiyo kwahiyo kupoteza wewe yeye anapata na hao wanaweza kuwatumia mentors kuwahadaa traders ili wapoteze ili broker apate na hao wanafanya kwa makubaliano ya malipo haramu ambayo haya malipo sio ya IB bali uhuni, wizi, na utapeli.
Kwahiyo ni vyema kwa traders kuwa makini na kuchagua brokers wanaoaminika na ambao wana sifa nzuri kwa traders wengine na sio kuletewa tu.
Pili kampuni(Trainers) sasa zimeongezeka nashauri watu wawe makini sasa kujua wapi wanajifunzia mfano kwa sasa najua kampuni kadhaa ambazo wote wako vzr na wana broker ambao wana sifa nzuri za utendaji. Kampuni hizo ni kama DAR FOREX ACADEMY chini ya Carl, +255MillionairesFX(Sijui Mhusika), na Tanzania Forex Institute(TFI) chini ya bwana mmoja nadhani ni David (Naomba kurekebishwa kama nimekosea).
TAHADHARI
Kwa wale ambao wanadhani forex ni nafuu ndio hao wanaenda kuibiwa!!!!!Unafundishwa Forex kwa 100,000 kwa siku 5 halafu unaanza kufanya trading siku hiyohiyo ni wizi.
Forex ni gharama, kubalini kugharamika, wekezeni kwenye kupata elimu bora ili kujilinda na kupotea kwa fedha zako. Wengi wanapoteza hela kwa sababu wanaamini forex haizidi 100,000 na huko ndipo hao trainers wanaingia makubaliano na brokers wa kuwaibia!!!!!
Poleni sana mliokumbana na kadhia hii lakini FOREX IS REAL. Pata elimu sahihi tu na muongozo sahihi.
Mkuu betting ina Lot size na LeveragesUmesahau kitu kimoja... FOREX n Betting pia... japo n real....
Hapana mkuu, kwa asiyejua anaweza kusema hivyo ila sio. Na ukiamua kuifanya kama betting unaweza pia ila matokeo yake yanaweza kuwa mazuri wakati fulani lakini utapoteza hela sanaaaaaUmesahau kitu kimoja... FOREX n Betting pia... japo n real....
Sema hujui behind FOREX kuna kitu gani.. hilo ndo TatiZo..... nimehaid nikipata time ntakuja kuanzisha uzi humu ndani "KITU KILICHO BEHIND FOREX" Thus why 99% losersMkuu betting ina Lot size na Leverages