Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Mkuu trump mwenywe anafanya sana forex na kaajiri hadi watu kwa hiyo kazi, sasa ukisema sio unakosea! Na ukinitajia hao watu wako waliotajirika kwa kilimo watakua wa uko kijijini kwako.
Hahahahahaha ndio mnavyodanganywa na huyo Ontario..

Huyo dogo si aliwaambia unaweza tengeneza million 19 kwa kulima kwa trekta moja tu.. hahahahahaha kweli wajinga ndio waliwao
 
Forex ni kamali tu. Hakuna neno zuri zaidi ya hilo. Buy hold wait for better prices then sell. Hii ni gambling
 
Unajiona ulivyo mweupe kichwani, ama kweli mfumo wa elimu wa nchi hii unahitaji mapinduzi ya hali ya juu. Kama na wewe ulitumia kodi za nchi hii kupoteza muda wako chuoni na umeandika hicho nimechokisoma nadiriki kusema magu aendelee kutokuajiri watu kwani ni kupoteza mishahara ya bure.


Nakuuliza swali moja nitajie financial Market trade ipi duniani ukiondoa forex isiyokuwa na risks!!!


Halafu pia nitajie financial market trade ipi duniani ukiondoa forex yenye insurance ... Yaani niambie biashara kama ya commodities,stocks au shares ni lini imekuwa na insurance.


Ukinijibu hayo maswali nitaweza kuendelea na wewe otherwise ni kupoteza muda ni maamuma mmoja aligraduate degree ya sociology
 
Mkopo hauna Insurance?

Mjinga wa mwisho.. sijasomeshwa na serikali yenu kuanzia primary mpaka namaliza elimu yangu.. Sijawahi kuajiriwa na serikali yako pia..
 
Jina tu linasadifu yaliyomo bado unahangaika nae, yeye naye yuko kwenye lile group la fx is not for everyone akiwemo sasa unategemea atakuelewa huyo mkuu
 
Mkopo hauna Insurance?

Mjinga wa mwisho.. sijasomeshwa na serikali yenu kuanzia primary mpaka namaliza elimu yangu.. Sijawahi kuajiriwa na serikali yako pia..
Kwahiyo mkopo ni stocks, shares au commodities??? Hujanijibu.

Nimekwambia nitajie financial Market ipi yenye insurance unaenda kunitajia LOANS hahahahaha... Nikikuita wewe ni fuska na kahaba wa akili utasema nakutusi mkuu. Muda mwingine nyie ndio mnatulazimisha kutumia maneno ya shombo.


Kama nilivyokuahidi jibu lako kati ya maswali niliyokuuliza litanifanya nikujue wewe ni nani. Nimekujua ulivyo mweupe kichwani kama unga wa sembe.


Kingine wewe elimu yako hustahili hata kuajiriwa kuwa shamba Boy.
 
Mimi mkuu km tayar umepata knoladge nA fx tayar ujuzi umepatakan just achana na huyo tapeli na 2saidie 2 sisi elimu coz mm mpk Leo nategemea fx kuwa business ya life yangu
Teh teh teh
 
Mimi alivyosema nilipe ada ya masomo pale machale yalinicheza sana ni sawa mtu anataka umuonge pesa akupe kazi kwa nini asikupe kazi baadae akukate kwenye mshahara nikakumbuka mstari wa joh makini Inaitajika umachale usilale hili wale wasikulishe ujinga wakutawale
 
Swagga kama za Ontario vile na ile Range Velar yake ya kupigia picha showroom.
 
Forex Ni utapeli so kama umejiandaa kwa utapeli ingia ila jua kuna matapeli wakongwe dhidi yako so utapigwa ti
 
Hapo kwenye red!

Je ni chuo gani mlikua mnafundishwa "kamari" darasani?

Tafadhali naomba majibu!
 
m
mkuuu unaweza kusoma na still ukawa bado kilaza kama unavyojihidhirisha now kwahyo kama hukuiweza kuimudu unadhani kwa wengine ni hivyo hivyo pumbavu kabisa wewe
 
Kwanini unapoteza muda kujibu watu wasiojua kitu? Kama wanasema Forex ni kamari,utapeli wakati sio kweli wewe inakupunguzia nini?
Hapa mlengwa mkuu anajulikana kwanini wewe upoteze muda na kutolea watu maneno ya dharau?
 
Mkuu wanaoibiwa hapa huwa ni wageni halafu huwa ni dependent traders kama wa TMT. Mfano mimi kuna broker mmoja alishawahi kucheza na MT4 na nikagundua kwahiyo nikafanya analysis kutumia broker mwingine. Mfano mkuu unaoneshwa Shooting star lazima akili iwe tayari kuanza selling lakini ukiangalia broker mwingine hakuna ile shooting start bali ni bullish harami.
Kwahiyo wanakuchanganya kwenye candlesticks pattern/price pattern au wanacheza dili na mentor kuwadivert badala ya kusell nyie mnabuy kwakuwa mnamsikiliza. Newbies wengi wanauingia huu mtego lakn naamini kinakuja kizazi cha profitable traders Tanzania
 
umeikaushia inbox vipi, au msg haijafika
 
 
Now I know....
Na wanajua fika newbie walivyo emotional .....so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…