bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Hizo 500,000,000 mnazoongelea kaibiwa ni kweli au uzushi tu?***** itakua jamaa kapiga hela ya bajeti ya wizara ya mwakyembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha ndio mnavyodanganywa na huyo Ontario..Mkuu trump mwenywe anafanya sana forex na kaajiri hadi watu kwa hiyo kazi, sasa ukisema sio unakosea! Na ukinitajia hao watu wako waliotajirika kwa kilimo watakua wa uko kijijini kwako.
Forex ni kamali tu. Hakuna neno zuri zaidi ya hilo. Buy hold wait for better prices then sell. Hii ni gamblingHata kuuza ndizi porini ni gambling tosha
Kilimo pia no gambling tosha kuna wadudu,mafuriko,ukame,wezi,moto,mfumuko wabei na.mambo mengi .
Biashara zote duniani zina risk hakuna iliyo salama
Baishara zinahitaji mbinu nzuri soko zuri ujuzi na mipango the same kwenye forex
Tatizo lenu watanzania ni watu wapuuzo wapuuzi tunaponda kila kitu kikikundee kombo hutaki hata kujua wapi umekosea .
Na wengi wetu hatufanikiwi sababu mnapenda kubadilika badili kila siku kama vinyonga .
Ontario na TMT ndio waliotufungua macho fursa ya forex ambayo nni kweli iko na uhalisi lakini system zao walizotumia kuwakusanya watu na kupiga hela zao imetia doa kabisa forex .
Hii inafanya hata sisi ambao tunaifanya na hatuhusiani na TMT tuonekane wale wale tu .
So Guys mjue kutofautisha katika ya Forex market na Ontario na TmT yake .
Fanyeni utafiti msiwe watu wa kuongea ongea.vitu msivyojua
Na mjifunze kutofautisha vitu
Watanzania ni watu waajabu sana aisee
Unajiona ulivyo mweupe kichwani, ama kweli mfumo wa elimu wa nchi hii unahitaji mapinduzi ya hali ya juu. Kama na wewe ulitumia kodi za nchi hii kupoteza muda wako chuoni na umeandika hicho nimechokisoma nadiriki kusema magu aendelee kutokuajiri watu kwani ni kupoteza mishahara ya bure.Unaona ulivyo mjinga.. my two lines unajibu kwa maneno mengi ambayo ni kelele tupu..
Wewe umeijua forex humu kupitia Ontario, mimi nimekaa darasani, nikasoma na nimeanza trade kabla hata wewe na Ontario hamjaingia humu JF..
Nimekwambia niambie successful people waliotajirika kwa Forex hujui na wala huna majibu. Mimi nitakwambia mpaka matajiri waliotajirika kwa kulima na kuuza hizo ndizi.
Biashara yeyote ina risk ndio maana kukawa na Insurance for unforeseen things, ila duniani kote huwezi insure biashara ya kamari. Forex ni kamari, full stop.
Usitake nirudi darasani nikufundishe topic ya Risk, niilisoma hiyo semester nzima chuoni, na sio hivi vyuo vyenu vya ajabu ajabu..
Mkopo hauna Insurance?Unajiona ulivyo mweupe kichwani, ama kweli mfumo wa elimu wa nchi hii unahitaji mapinduzi ya hali ya juu. Kama na wewe ulitumia kodi za nchi hii kupoteza muda wako chuoni na umeandika hicho nimechokisoma nadiriki kusema magu aendelee kutokuajiri watu kwani ni kupoteza mishahara ya bure.
Nakuuliza swali moja nitajie financial Market trade ipi duniani ukiondoa forex isiyokuwa na risks!!!
Halafu pia nitajie financial market trade ipi duniani ukiondoa forex yenye insurance ... Yaani niambie biashara kama ya commodities,stocks au shares ni lini imekuwa na insurance.
Ukinijibu hayo maswali nitaweza kuendelea na wewe otherwise ni kupoteza muda ni maamuma mmoja aligraduate degree ya sociology
Jina tu linasadifu yaliyomo bado unahangaika nae, yeye naye yuko kwenye lile group la fx is not for everyone akiwemo sasa unategemea atakuelewa huyo mkuuUnajiona ulivyo mweupe kichwani, ama kweli mfumo wa elimu wa nchi hii unahitaji mapinduzi ya hali ya juu. Kama na wewe ulitumia kodi za nchi hii kupoteza muda wako chuoni na umeandika hicho nimechokisoma nadiriki kusema magu aendelee kutokuajiri watu kwani ni kupoteza mishahara ya bure.
Nakuuliza swali moja nitajie financial Market trade ipi duniani ukiondoa forex isiyokuwa na risks!!!
Halafu pia nitajie financial market trade ipi duniani ukiondoa forex yenye insurance ... Yaani niambie biashara kama ya commodities,stocks au shares ni lini imekuwa na insurance.
Ukinijibu hayo maswali nitaweza kuendelea na wewe otherwise ni kupoteza muda ni maamuma mmoja aligraduate degree ya sociology
Kwahiyo mkopo ni stocks, shares au commodities??? Hujanijibu.Mkopo hauna Insurance?
Mjinga wa mwisho.. sijasomeshwa na serikali yenu kuanzia primary mpaka namaliza elimu yangu.. Sijawahi kuajiriwa na serikali yako pia..
Teh teh tehMimi mkuu km tayar umepata knoladge nA fx tayar ujuzi umepatakan just achana na huyo tapeli na 2saidie 2 sisi elimu coz mm mpk Leo nategemea fx kuwa business ya life yangu
Swagga kama za Ontario vile na ile Range Velar yake ya kupigia picha showroom.ni kweli kabisa, alafa hii watu wanakosea wanapo ichukulia kama sehemu ya kujiongezea kipato.
mimi hii nimefanya kama ofisi, na ma document kibao, na huwa na kua naingia kama ofisini, hua siwezi kuacha trading mie niondoke huwa sifanyi hivyo, huwa nakaa hadi masaa yangu kumi yatimie. hii ni ofisi kwangu, kila ninacho fanya kinaingizwa kwenye record na mwisho wa mwezi najilipa mshahara na nyingine naicha kukuza mtaji. na soon naingia kwenye full time nataka ku quit kila kitu, nibaki na hii tu
Hapo kwenye red!Wewe umeijua forex humu kupitia Ontario, mimi nimekaa darasani, nikasoma na nimeanza trade kabla hata wewe na Ontario hamjaingia humu JF..
Biashara yeyote ina risk ndio maana kukawa na Insurance for unforeseen things, ila duniani kote huwezi insure biashara ya kamari. Forex ni kamari, full stop.
mkuuu unaweza kusoma na still ukawa bado kilaza kama unavyojihidhirisha now kwahyo kama hukuiweza kuimudu unadhani kwa wengine ni hivyo hivyo pumbavu kabisa weweUnaona ulivyo mjinga.. my two lines unajibu kwa maneno mengi ambayo ni kelele tupu..
Wewe umeijua forex humu kupitia Ontario, mimi nimekaa darasani, nikasoma na nimeanza trade kabla hata wewe na Ontario hamjaingia humu JF..
Nimekwambia niambie successful people waliotajirika kwa Forex hujui na wala huna majibu. Mimi nitakwambia mpaka matajiri waliotajirika kwa kulima na kuuza hizo ndizi.
Biashara yeyote ina risk ndio maana kukawa na Insurance for unforeseen things, ila duniani kote huwezi insure biashara ya kamari. Forex ni kamari, full stop.
Usitake nirudi darasani nikufundishe topic ya Risk, niilisoma hiyo semester nzima chuoni, na sio hivi vyuo vyenu vya ajabu ajabu..
Kwanini unapoteza muda kujibu watu wasiojua kitu? Kama wanasema Forex ni kamari,utapeli wakati sio kweli wewe inakupunguzia nini?Usipende kufananisha fananisha vitu boss .
Na hii inaonyesha wewe forex huijui kabisa yaani empty kabisa .
Na ndio maana wapambe nuksi wengi humu .
Wanajidai walitoa maonyo wakati hio forex yenyewe hata kitabu kimoja hawajawahi shika .
Na hawajui kitu kabisa
Mimi namshukuru Ontario kunifumbua macho lakini namlaumu yeye na timu yake kufanya tunaofanya forex kweli kuonekana tumepotea njia .
Na nashauri tu moja afunge hio kampuni yake au awe trainer mambo ya kuwapa watu signal kkuwa chagulia beokers ndio hutuletea kelele watu wapuuzi kama kama hivi tunaovyoona hapa
Forex is real forex is not for everyone forex is very risk
Forex 50% is technique and remaining 50% is pyschology .
Kama hujui vitu hivi plizi stay out acha kumwaga sumu hapa
Mkuu wanaoibiwa hapa huwa ni wageni halafu huwa ni dependent traders kama wa TMT. Mfano mimi kuna broker mmoja alishawahi kucheza na MT4 na nikagundua kwahiyo nikafanya analysis kutumia broker mwingine. Mfano mkuu unaoneshwa Shooting star lazima akili iwe tayari kuanza selling lakini ukiangalia broker mwingine hakuna ile shooting start bali ni bullish harami.Kuna kitu sijakuelewa mkuu
yaan b broker uki sell ye ana buy?ina maana ukichukua mt4 mbili ya ECN broker kama pepperstone au tickmill nab broker like jp markerts afu uka place the same order kwa pair moja lets say EURUSD pote pote wth same sl na tp je graph zinakwenda in different direction au vip yaan hapa ndo huwa sielewagi broker anakuibiaje apart fromSPREAD kubwa
umeikaushia inbox vipi, au msg haijafikaAcha kupenda kitonga mtu mzima na ndefu zako yeye hata hakujui anaanza wapi kukupa hela kubwa kama laki 4 .
We jamaa hata hujui kujiongeza mtu wa ajabu sana
Yaani jibaba zima linasubiria laki 4 kwa dogo hahahah
Na angekupa ungeichoma ndani ya dakika kadhaa au ungeenda kuhonga na kunywea viroba huko uchochoroni
Bora alivyonyuti
Siku ingine akili yako ifanye kazi vizuri
The only solution ya kutengeneza utajir,kodi au milik ardh lima nyanya au kitunguu i promise unatoka mm saiv naish maisha yang ya level nzur,nyumb ipo but mwakn nanunua mark x tukijaaliwa na mm npate usafir maan mchumia juan anakul kivulin(my age 24) sasa ww endelea kuw mvivu wa kufikir na kutak utajir kwa kubonyeza batan za cm yako
Now I know....Mkuu wanaoibiwa hapa huwa ni wageni halafu huwa ni dependent traders kama wa TMT. Mfano mimi kuna broker mmoja alishawahi kucheza na MT4 na nikagundua kwahiyo nikafanya analysis kutumia broker mwingine. Mfano mkuu unaoneshwa Shooting star lazima akili iwe tayari kuanza selling lakini ukiangalia broker mwingine hakuna ile shooting start bali ni bullish harami.
Kwahiyo wanakuchanganya kwenye candlesticks pattern/price pattern au wanacheza dili na mentor kuwadivert badala ya kusell nyie mnabuy kwakuwa mnamsikiliza. Newbies wengi wanauingia huu mtego lakn naamini kinakuja kizazi cha profitable traders Tanzania