KUNGURU MUOGA....... na huwa hafanikiwi
watu ni waoga wa maendeleo na kiufupi wanao piga pesa huwa hawana mda tena wa kuja na mada huwa wanakuwa bize na mambo mengine na sio rahisi hata kuwajua ovyo. so una weza angalia watu walio fanikiwa kwenye forex kupitia vijana wa south wako wengi tu mbona na wengi sana, kwa bongo bado wanakuza mitaji japo wapo pia kama wahindi wamejificha sana,
na watanzania wengi tunapenda kutafuniwa kama mlivyo kuwa manatafuniwa mlitegemea ontario kwenye kuwapa signal ila unge soma mda ambao uko free nahisi ungekuwa mbali sana. akili ya ontario changanya na yako na vitabu na video tutorial na tech na fundamental TRUEST ME YOUR THE BEST
mimi nilianza hivi kabla hata sijaja jamii forum maana nilikuwa na mda wa kujifunza nilikuwa napata hasara sana kidogo nikate tamaa
nikajitaidi nikaendelea kujifunza mwenyewe geto bila kuchoooka na kukata tamaa ikaja hvii
mambo ya kaanza ku change na kumbuka ni demo hapo nilikwa sina hata mzuka wa kufungua live na nilikuwa na trade binary ya IQ
basi maisha yakasonga kujifunza kote kote
mpkaaa saizi naandika uzi huu kama mimi mwenyewe inanitosha kabisa kusema kuwa siachi kujifunza wala sito kaa niache ku trade ni sawa na BILL walter.
mambo yaakaa anza ku chanje kupungua kwa hasara tofauti na zamani
nikaanza kuna vi faida ila sikujua jinsi ya kupata faida ya kutosha.
na mwisho kabisa
na bado niko na demo japo nilichoma account kipindi cha nyuma kama mara 2 sema siku jilaumu coz niko alone na nilikuwa new B ila hadi ninako elekea nahisi nitafika
USHAURI WASIO AMINI FOREX WAACHE maana mnaogopesha wenye moyo wa kujifunza WANAO AMINI FOREX TUENDELE NA SAFARI